Herunterladen Diese Seite drucken

Briggs & Stratton 020632-00 BPW3000PX Bedienungsanleitung Seite 210

Werbung

Utatuzi
Tatizo
Pampu ina shida zifuatazo:
Kushindwa kuzalisha shinikizo,
shinikizo zisizokuwa na uhakika,
kelele nyingi, kupoteza shinikizo,
kiwango cha maji kilicho chini.
Sabuni inashindwa kuchanganyika
na mfukizo.
Injini haiwaki, inazimika wakati
wa inatumika au inawaka na
kunguruma vibaya.
Kwa masuala mengine yote, mwone muuzaji wa Briggs & Stratton.
Vipengele Maalum
Shinikizo ya juu . . . . . . . . . . 20.7 Mpa* (3000 PSI or 207 BAR) @ 8.7 LPM (2.3 GPM)
Mtiririko wa Kasi Kabisa . . . . 2.76 MPa (400 PSI or 28 BAR) @ 18.9 LPM* (5.0 GPM)
Temprecha ya Maji ya Juu. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .38°C (100°F)
Nguvu ya kusongeza . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 190 cc (11.58 cu. in.)
Pengo ya Spaki Plagi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . milimita 0.50 (0.020 in.)
Kiasi ya Petroli . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .lita 1.13 (1.2 Qt.)
Kiasi ya Mafuta . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . lita 0.6(aunzi 20)
Shinikizo ya Sauti @ mita 3 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 88 dBA §
Vifaa vya Huduma
Vifaa vya Ukarabati wa O-Ring . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 705002
Pazia ya Kuingiza Maji . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . B2384GS
Chupa ya Mafuta ya Injini. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 100005E
PumpSaver . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .6039
Upimaji Wa Nguvu Ya Stima:Upimaji wa nguvu yote kwa ujumla ya injini ya petroli imewekewa lebo kulingana na kodi ya
SAE (Society of Automotive Engineers) J1940 mfumo wa kupima nguvu ya injini ndogo, na ilipimwa kwa mujibu wa SAE
J1995. Matokeo ya nguvu yote kwa ujumla ya 'torque' hupatikana kutoka 2600 RPM kwa zile injini zilizo na "rpm" kwa lebo
na 3060 RPM kwa zingine zote, matokeo ya nguvu ya 'horsepower' hupatikana kutoka 3600 RPM. Vizingo vya nguvu jumla
vinaweza kutazamwa kwa www.BRIGGSandSTRATTON.COM. Matokeo ya nguvu yanachukuliwa na eksozi na kichujio
cha hewa zikitumika ilhali nguvu jumla zinapatwa bila kuziongeza. Nguvu ya injini kwa ujumla itakuwa nyingi kuliko nguvu
ya injini na inaathiriwa na mazingira ya operesheni na tofauti ya injini zinazotimika. Kutokana na upana wa bidhaa ambazo
injini zimewekwa, injini za petroli zinawezekana zisitoe nguvu zilizopimiwa nayo wakati zimetumika katika kifaa kinachotumia
nguvu yake. Tofauti hii ni kutokana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na, aina tofauti ya vipengele vya injini (hewa safi,
eksozi, kuchaji, kupoesha, kabureta, pampu za mafuta, na kadhalika), upungufu wa vipengele, mazingira (joto, unyevu ,
urefu), na tofauti ya injini. Kutokana na upungufu wa kiasi ya utengenezaji, Briggs & Stratton wanaweza kuibadilisha injini hii
iliyo na nguvu nyingi zaidi.
* Mashine inayoosha kwa kutumia shinikizo iko na upimaji kutoka kwa Pressure Washer Manufacturers Association
(PWMA) kiwango PW101-2010 (Majaribio na Upimaji wa mashine zinazoosha kwa kutumia shinikizo).
§ Sauti zilizopimwa kwa mujibu wa kanuni za Tasmanian Environmental Management and Pollution Control (Kelele nyingine).
10
10
Sababisho
1. Upungufu wa maji.
2. Mpira wa maji unaoleta maji umekunjana
au unavuja.
3. Pazia ya mpira wa maji unaoleta maji
imezibwa.
4. Maji yanayosambazwa yako juu ya 38°C
(100°F).
5. Mpira wa maji ulio na shinikizo ya juu
imezibwa au inavuja.
6. Bunduki ya mfukizo inavuja.
7. Bomba ina pingamizi.
1. Tubu ya sabuni imezibwa ama imepasuka.
2. Angalia kama mpira umekwama katika
mfumo wa sabuni.
3. Shinikizo ya juu au mtiririko wa kasi, bila
sabuni, bomba inachaguliwa.
1. Swichi ya injini iko katika nafasi ya OFF (0).
2. Kiwango ya chini ya mafuta.
3. Mafuta yameisha.
4. Waya ya spaki plagi haikuwa
imeshikanishwana spaki plagi yenyewe.
5. Mafuriko.
Sahihisho
1. Patiana mtiririko wa maji unaotosha.
2. Nyoosha mpira wa maji, weka kiraka
kwa sehemu inayovuja.
3. Angalia na usafishe pazia ya tundu la
mpira wa maji.
4. Sambaza maji yaliyo baridi.
5. Toa uchafu kwa tundu la kutoa la mpira
wa maji, badilisha kama inavuja.
6. Badilisha bunduki ya mfukizo.
7. Safisha mabomba.
1. Safisha au badilisha tubu ya sabuni.
2. Toa mpira wa kuangalia kama
ilivyoelezwa kwa Mpira wa Kuangalia
Mfumo Wa Kumwaga Sabumi.
3. Chagua bomba ya sabuni iliyo na
mtiririko wa juu (inayoonyeshwa na
viputo).
1. Weka swichi ya injini kwa nafasi ya ON (I).
2. Jaza kifuniko ya fitokombo kwa kiwango
sahihi.
3. Jaza tenki ya mafuta.
4. Unganisha waya na spaki plagi.
5. Subiri dakika 5 na washa injini tena.
BRIGGSandSTRATTON.COM
BRIGGSandSTRATTON.COM

Werbung

loading