Herunterladen Diese Seite drucken

Briggs & Stratton 020632-00 BPW3000PX Bedienungsanleitung Seite 205

Werbung

Maelezo ya Vifaa
Soma mwongozo huu kwa makini na uelewe
kuitumia mashine inayotumia shinikizo kuosha.
Jua matumizi yake , mapungufu yake, na hatari
zozote zinazohusika. Hifadhi maelekezo haya ya kiasili
kwa ajili ya kumbukumbu za baadaye.
Ilani Kama una maswali kuhusu matumizi, uliza mtu
anayeuza ama kituo cha huduma kilichohitimu. USIWAHI
tumia vitengo vilivyo na sehemu zilizovunjika au na vifaa
vilivyokosa, au bila vifaa vya kukinga. USILENGE kifaa
chochote cha usalama katika mashine hii. USIBADILISHE
mashine inayoosha na shinikizo kwa njia yoyote. Vifaa hivi
viliundwa kutumiwa na bidhaa za nguvu na zilizoidhinishwa
za Briggs & Stratton PEKEE.
Kila jitihada imefanyika ili kuhakikisha kuwa taarifa katika
mwongozo huu ni sahihi na wa kisasa. Hata hivyo, sisi
ndio tuna haki ya kubadilisha au kuboresha bidhaa hizi na
mwongozo huu wakati wowote bila kupeana ILANI.
POWERflow+ Technology™
Nguvu ya POWERflow+ iko katika pampu iliyo na mbinu
mbili tofauti za kusafisha: kutumia shinikizo ya juu na
mtiririko wa hali ya juu. Mbinu ya shinikizo iliyo juu inatoa
hadi 20.7 MPA (3000 PSI or 207 BAR) na ni bora kwa
ajili ya kusafisha madoadoa magumu kabisa, koga na
masizi kutoka kwa sitaha, barabara na njia ndogo, wakati
inayotumia mbinu ya mtiririko wa hali ya juu inatoa hadi
18.9 LPM (lita kwa dakika) (5 GPM (galoni kwa dakika))
kwa kutumia nguvu kusuuza uchafu, sabuni na kifusi.
Teknolojia ya POWERflow+ iliyomilikiwa na Briggs na Stratton ni
mfumo wa vipengele vinavyofanya kazi pamoja kutoa uwezo wa
mtiririko wa hali ya juu. Maji yanatiririshwa kutoka kwa pampu hadi
kwa mpira maalum wa kupitisha maji ulioundwa kwa mita 9 nukta
moja (futi 30) hadi ndani ya bunduki ya POWERflow+ iliyo na
mtego laini wa kushikilia. Baadaye, maji yanatiririka katika bomba
zilizo saba ndani ya moja ambayo inaruhusu mtumiaji kubadilisha
kutoka shinikizo ya juu hadi mtiririko wa juu, na inasukuma
mkondo hadi mita 9 nukta moja (futi 30).
Kusafirisha
Wakati unasafirisha vifaa na gari au trela, MWAGA mafuta
kutoka kwa tenki au zima valvu ya mafuta, kama unayo,
iwe katika nafasi ya OFF (0). USIWEKE injini au vifaa katika
pembe ambayo inaweza kusababisha mafuta kumwagika.
Jinsi ya Kuunganisha
Shikanisha Mpini na Sahani ya Kuwekelea
Vifaa vya Ziada Kielelezo
1. Weka mpini (1, A) kwenye nguzo (1, B)na lainisha
mashimo (1, C).
2. Ingiza komeo za gari (2, A) kupitia mashimo ndani ya
kitengo, shikanisha na mpira wa plastiki (2, B) na ukaze.
ILANI Mpini unaweza kunjwa mbele kwa kulegeza mpira
wa plastiki kwenda sehemu haijachongwa ya komeo.
USIKUNJE mpini wakati injini iko moto.
3. Ingiza kamba ya mpira (3, A) kupitia shimo (3, B) iliyo nyuma
ya sahani ya vifaa vya ziada na uvute kwa nguvu kutoka mbele.
4. Weka sahani ya vifaa vya ziada (4, A) juu ya mashimo
(4, B) zilizo kwa mpini na usukume komeo za mti (4, C)
kwenye mashimo.
1 2 3 4
Vipengele na Vielekezi
A
bomba saba ndani ya moja
B
Sahani ya vifaa ziada
C
Bunduki ya kufukiza
D
Lebo ya Kuonya
Kifaa cha kuanzisha nywea
E
F
Mkembe wa mafuta na kipimo
G
Shimo la kutoa shinikizo
iliyo juu
H
Njia ya kuingizia Maji
Operesheni
Mafuta
Mapendekezo ya Mafuta Kielelezo
Tunapendekeza matumizi ya mafuta ya Briggs & Stratton
yaliyo na Udhamini Uliothibitishwa kwa ajili ya utendaji bora.
Sabuni zilizo na mafuta za aina nyingine ya ubora wa juu
zinakubaliwa kama zimewekwa kwa makundi ya huduma
SF, SG, SH, SJ au zaidi. USITUMIE nyongeza maalum.
Joto ya nje huamua mnato sahihi wa mafuta unaotumika
kwa injini. Tumia chati kuchagua mnato bora kwa ajili ya
joto ya nje inayotarajiwa.
* Chini ya 4°C (40°F) matumizi ya SAE 30 itasababisha
ugumu wakati wa kuwasha.
** Zaidi ya 27°C (80°F) matumizi ya 10W30 yanaweza
kusababisha kuongezeka kwa matumizi ya mafuta. Angalia
Kiwango cha mafuta mara nyingi zaidi.
Kuangalia/Kuongeza Mafuta ya Injini Kielelezo
Kiwango cha mafuta lazima ichunguzwe kabla ya matumizi
au angalau kila baada ya masaa nane ya operesheni.
Dumisha kiwango cha mafuta.
1. Hakikisha mashine inayoosha na shinikizo iko
kiwango laini.
2. Osha eneo karibu na shimo la kujazia mafuta (5,F) na
uondoe kifuniko cha shimo ya kujazia mafuta/kijiti ya kupimia.
3. Hakikisha mafuta iko kiwango cha juu kabisa (shimo ya
juu) (8,A) kwa kijiti ya kupimia.
4. Kama inahitajika, mwaga mafuta polepole katika tundu
la kujazia mafuta hadi alama ya juu (shimo ya juu) kwa
kijiti cha kupimia. USIPITISHA kiwango kinachofaa.
5. Badilisha na ukaze kifuniko ya shimo ya kujazia
mafuta/kujiti ya kupimia.
ILANI USIJARIBU kuzungusha au kuwasha injini kabla
ijahudumiwa vizuri na mafuta yaliyopendekezwa. Hii
inaweza kuharibu injini.
TAHADHARI! Epuka mgusano wa ngozi na mafuta ya
gari yaliyotumika kwa muda mrefu au mara kwa mara. Mafuta
ya gari iliyotumika imeonekana kusababisha saratani ya
ngozi katika baadhi ya wanyama wa maabara. Safisha kwa
kina maeneo yaliyo na jeraha au wazi kwa sabuni na maji.
WEKA MBALI KUTOKA KWA WATOTO. USICHAFUE.
LINDA RASILIMALI. RUDISHA MAFUTA
YALIYOTUMIKA KWA VITUO VYA KUKUSANYA.
Kielelezo 5
J
Pampu
K
Tangi ya Sabuni
L
Lebo ya kutambulisha
M
Kichujio cha kuchuja hewa
Swichi ya Injini
N
P
Tenki ya Mafuta
R
Ugani wa bomba na
Kuunganisha Haraka
S
Mpira wa Maji Ulio na
Shinikizo ya Juu
7
5 8
5 5

Werbung

loading