Herunterladen Diese Seite drucken

Briggs & Stratton 020632-00 BPW3000PX Bedienungsanleitung Seite 206

Werbung

Ongeza Mafuta Kielelezo
Mafuta lazima yakidhi mahitaji haya:
• Petroli iliyo safi, mbichi na isiyo na madini.
• Kima cha chini cha 87 octane/87 AKI (91 RON). Kwa
mwinuko wa juu, angalia Mwinuko wa Juu.
• Petroli iliyo na hadi asilimia kumi ya ethanoli (gasohol)
inakubalika.
ILANI Matumizi ya mafuta ambayo haijaidhinishwa
inaweza kuharibu mashine inayoosha na shinikizo na inafuta
udhamini. USITUMIE petroli ambayo haijaidhinishwa kama
vile E15 na E85. USICHANGANE mafuta katika petroli au
urekebisha injini itumie mafuta tofauti.
Ili kulinda mfumo wa mafuta usigande, changanya katika
kiimarishaji cha mafuta wakati unaongeza mafuta. Angalia
Hifadhi. Mafuta yote si sawa. Ukipata matatizo ya kuwasha
au utekelezaji baada ya kutumia mafuta, badilisha mafuta
unayotumia kwa muuzaji mwingine au badilisha kampuni.
Injini hii imethibitishwa kutumia petroli.
ONYO! Mafuta na mivuke yake ina uwezo
wa kuwaka sana na kulipuka na kusababisha
kuungua, moto au mlipuko ambao
unawezaleta kifo au majeraha makubwa. Zima injini ya
mashine inayoosha na shinikizo na uache ipoe angalau dakika
mbili kabla ya kuondoa kifuniko cha mafuta. Legeza kifuniko
polepole ili kupunguza shinikizo katika tenki. Jaza tenki ya
mafuta nje. USIJAZE tenki kupita upeo yake. Wacha nafasi
kwa ajili ya upanuzi wa mafuta. Kama mafuta imemwagika,
subiri hadi iwe mvuke kabla ya kuanza injini. Weka mafuta
mbali na cheche, moto ulio wazi, taa ya kujaribia, joto, na
vyanzo vingine vya moto. Angalia mistari ya mafuta, tenki,kofia
na sehemu za kuunganisha mara nyingi kwa nyufa au mtiririko.
Badilisha kama inabidi. USIWASHE sigara au moshi.
1. Safisha eneo karibu na kifuniko cha mafuta, toa kifuniko.
2. Anza kuongeza mafuta yasiyo na madini polepole (A)
kwa tenki ya mafuta (B). Kuwa makini usijaze kupitisha
kiwango kinachofaa. USIJAZE kupitisha chini ya shingo
ya tenki ya mafuta ili uruhusu upanuzi wa mafuta.
3. Weka kifuniko ya mafuta na uwache mafuta yote
yaliomwagika yawe mvuke kabla uwashe injini.
Mwinuko wa Juu
Kwa miinuko zaidi ya mita 1,524 (futi 5,000), Kima cha petroli chini
yaa 85 octane/85 AKI (89 RON) kinakubalika. Ili ufuate sheria za
kuzalisha uchafu, marekebisho ya mwinuko wa juu unahitajika.
Operesheni bila marekebisho haya yatasababisha upungufu kwa
utekelezaji, kuongezeka kwa matumizi ya mafuta, na kuongezeka
kwa uzalishaji wa uchafu. Angalia muuzaji wa Briggs & Stratton
aliyethibitishwa kwa maelezo zaidi kuhusu marekebisho ya
miinuko ya juu. Operesheni ya injini katika mwinuko chini ya mita
762 (futi 2,500) na vifaa vya miinuko ya juu haijapendekezwa.
6
6
9
Eneo la Mashine inayoosha kwa kutumia
Shinikizo Kielelezo
Sumu ya Kaboni Monoksidi
ONYO! Eksozi ya injini ina kaboni monoksidi, gesi ya
sumu ambayo inaweza kukuua wewe kwa dakika
kadhaa. HUWEZI kuinusa, kuiona, au kuionja. Hata
kama huwezi kunusa mvuke wa eksozi, unaweza bado kuwa
katika hatari ya kuipumua kaboni monoksidi. Tumia bidhaa hii
NJE PEKEE mbali na madirisha, milango na matundu ili
kupunguza hatari ya gesi ya kaboni monoksidi kukusanyika na
uwezekano wa kuwa inasambazwa kuelekea maeneo ya nje.
Weka kamsa ya kaboni monoksidi inayotumia betri au ziweke
kamsa za kaboni monoksidi na betri za ziada kwa mujibu wa
maelekezo ya mtengenezaji. Kamsa za moshi haziwezi
kugundua gesi ya kaboni monoksidi. USITUMIE bidhaa hii ndani
ya nyumba, gereji, sehemu ya nyumba iliyo chini ya ardhi,
chumba kidogo sana, vibanda, au nafasi zingine hata kama
unatumia vipepeo au milango zilizofunguliwa na madirisha za
kuingizia hewa. Kaboni monoksidi inaweza kujaa haraka katika
nafasi hizi na inaweza tuwama kwa masaa, hata baada ya
bidhaa hii imezimika. DAIMA weka bidhaa hii katika mwelekeo
ambao upepo unavuma na elekeza eksozikutoka nafasi
zilizojazwa. Ukianza kujisikia mgonjwa, kizunguzungu, au dhaifu
wakati unatumia bidhaa hii, tafuta hewa safi MARA MOJA.
Mwone daktari. Unaweza kuwa na sumu ya kaboni monoksidi.
Hatari ya Moto
ONYO! Joto ya gesi ya Eksozi/inaweza kuwasha
vitu vinavyoweza kuwaka, haribu miundo au tenki
ya mafuta na kusababisha athari ya moto, ambayo
inaweza sababisha kifo au majeraha makubwa. Weka
angalau mita 1.5 (futi 5) kibali pande zote za mashine
inayoosha na shinikizo pamoja na kutoka juu.
Unganisha Mpira wa Maji na Ugavi wa Maji
kwa Pampu Kielelezo
ILANI Kagua mpira wa maji ulio na shinikizo ya juu ili
kupata makato, mitiririko au uharibifu.
1. Vuta nyuma kwa ukosi wa mpira wa maji ulio na shinikizo
ya juu (S), weka kwenya bunduki ya kufukiza (C) na utoe
ukosi. Vuta mpira wa maji kuhakikisha kuwa iko salama.
2. Ambatanisha sehemu nyingine ya mpira wa maji kwa tundu
la kutoa maji (G) kwenye pampu na ukaze.
3. Kagua tundu la kuingiza maji kabla ya kuunganisha mpira
wa maji wa bustani kwa tundu la kuingiza maji (H). Safisha
pazia kama ina uchafu au uibadilishe kama imeharibika.
USITUMIE mashine ya kuosha inayotumia shinikizo kama
pazia la tundu la kuingizia maji limeharibiwa.
4. Hakikisha chanzo ya maji ina uwezo wa kusambaza
maji katika kiwango cha lita zaidi ya 26.5 (galoni 7.0)
kwa dakika moja na 0.17-0.55 MPA (25-80 PSI or
1.7-5.5 BAR) katika mashine inayoosha kwa kutumia
shinikizo kwa mpira wa maji.
5. Pitisha maji katika mpira wa maji ili kutoa uchafu.
10
5
BRIGGSandSTRATTON.COM
BRIGGSandSTRATTON.COM

Werbung

loading