Herunterladen Diese Seite drucken

Briggs & Stratton 020632-00 BPW3000PX Bedienungsanleitung Seite 208

Werbung

Kutumia sabuni
ONYO! Kemikali inaweza kuchoma na
kusababisha kifo au majeraha makubwa.
USITUMIE kemikali inayochoma na mashine
inayoosha kwa kutumia shinikizo. Tumia sabuni salama
PEKEE kwa mashine inayoosha kwa kutumia shinikizo.
Fuata maelekezo ya watengenezaji.
Kutumia sabuni:
1. Toa kifuniko kwa tenki ya sabuni, jaza na sabuni na
badalilisha kifuniko.
2. Chagua mfumo wa sabuni kwa bomba.
ILANI Sabuni haiwezi kutumika na mfumo usio wa sabuni
kwa bomba (kiwango cha juu, kwa ujumla, polepole,
mfukizo au iliyoongezwa).
3. Weka sabuni kwa sehemu kavu, kuanzia sehemu ya
chini ya eneo hilo na uoshe kuelekea juu, kwa kufagia
refu, kawaida, na kufagia zinazopitana.
4. Ruhusu sabuni "kuloweka" vile watengenezaji wa
sabuni wameelekeza.
Kusuuza Mashine Inayoosha Kwa Shinikizo
Kwa Kusuuza:
1. Chagua mfumo usiotumia sabuni kwa bomba.
ONYO! Nywea kutoka bunduki ya mfukizo (29 N)
inaweza kukuangusha na kusababisha kifo au
majeraha makubwa. Tumia mashine inayoosha kwa
kutumia shinikizo kutoka sehemu ilio imara. Kuwa makini
sana kama ni lazima utumie mashine inayoosha kwa
kutumia shinikizo kutoka kwa juu ya ngazi, jukwaa, au
maeneo kama hayo. Shikilia bunduki ya mfukizo imara kwa
mikono miwili wakati wa kutumia mfukizo wa shinikizo ya juu
ili uepuke kuumia wakati bunduki itanywea.
2. Weka mfukizo wa shinikizo iliyo juu kwa eneo dogo na
uangalie kama kuna uharibifu. Kama hakuna uharibifu,
endelea kusuuza.
3. Anza kwa eneo la juu la kusuuzwa, ukielekea chini na
vifagio vinavyopitana jinsi ulifanya ukiosha.
Mbinu ya Kujipoesha (Kupunguza Joto)
Maji yanazozunguka kwa pampu yanaweza kufikia joto
ya juu inayozidi 51°C (125°F) kama unatumia mashine
inayoosha kwa kutumia shinikizo kwa dakika 3 hadi 5 bila
kubonyeza kifyatulio kwa bunduki. Mfumo unapoesha
pampu kwa kumwaga maji moto kwenye ardhi.
Zima Mashine Inayoosha kwa Kutumia Shinikizo
1. Achilia kifyatulio cha bunduki ya mfukizo na uwache
injine itulie kwa dakika mbili.
2. Badilisha swichi ya injini hadi nafasi ya OFF (0).
3. DAIMA elekeza bunduki ya mfukizo katika sehemu
salama, bonyeza kitufe nyekundu na ufinye kifyatulio ili
uwachilie shinikizo ilio juu, kila wakati unazima injini.
ONYO! Bunduki ya mfukizo inashikilia maji yaliyo na
shinikizo ya juu, hata wakati injini imezimwa na maji
hayatiririki, na inaweza sababisha majeraha makubwa.
Weka mpira wa maji ulio na shinikizo ya juu kwa pampu na
bunduki ya mfukizo wakati mfumo unashinikizwa. DAIMA
elekeza bunduki ya mfukizo katika mwelekeo salama, bonyeza
kitufe nyekundu na ufinye kifyatulio kwa bunduki ya mfukizo ili
utoe shinikizo, kila wakati unazima injin
8
8
i.
Baada ya Kila Matumizi
Maji hayapaswi kubaki katika kitengo hiki kwa muda mrefu.
Mchanga au madini yanaweza kusanyika juu ya sehemu
za pampu na kuilemaza pampu. Fuata taratibu hizi baada
ya kila matumizi:
1. Zima maji, na uache injini ipoe.
2. Toa mpira wa maji kutoka kwa bunduki na tundu la
kutoa kwenye pampu. Toa maji kutoka kwa mpira wa
maji, bunduki, na ugani wa bomba.
3. Weka bunduki,ugani wa bomba ,bomba na mpira wa
maji juu ya sahani ya vifaa vya ziada.
4. Toa vioevu vyote kwa pampu kwa kuvuta mpini wa
nywea kama mara sita.
5. Hifadhi kitengo katika eneo safi na kavu.
ILANI Kama unahifadhi kwa zaidi ya siku 30, angalia Uhifadhi.
ONYO! Mafuta na mivuke yake yanaweza
kuwaka na kulipuka hivyo yanaweza
kuchoma, washa moto au mlipuko na
kusababisha kifo au majeraha makubwa. Wakati unahifadhi
mafuta au vifaa na mafuta katika tenki, hifadhi mbali na
tanuru, majiko, Ya kuchemshia maji, Ya kukausha nguo, au
vifaa vingine vilivyo na mwanga wa kujaribia au vyanzo vya
moto kwa sababu vinaweza kuwasha mivuke ya mafuta.
Udumishaji
Ratiba Ya Ukarabati
Fuata kila saa au vipinda vya kalenda, kwa namna yoyote
itakayotokea ya kwanza. Huduma ya mara kwa mara
inahitajika wakati inatumika katika mazingira magumu.
Masaa matano ya kwanza
• Badilisha mafuta ya injini
Kwa kila masaa manane ama kila siku
• Safisha uchafu
• Kagua kiwango cha mafuta injini
Kwa kila masaa hamsini ama kila mwaka
• Badilisha kichujio cha hewa kwa Injini
• Badilisha mafuta ya injini
• Kagua kifaa kinachopunguza sauti ya ekzosi
Kwa kila masaa mia mbili ama kila mwaka
• Badilishi injini ama kichujio cha hewa
Kila Mwaka
• Badilisha plagi ya spaki
• Safisha mfumo wa kupooza
Hudumia mara nyingi zaidi katika hali chafu au iliyo na vumbi.
1
Mapendekezo Kwa Ujumla
Ukarabati wa mara kwa mara utaboresha utekelezaji na
kuongezea maisha ya mashine inayoosha kwa kutumia shinikizo.
Angalia muuzaji yeyote wa Briggs & Stratton kwa ajili ya huduma.
USIWARUHUSU watoto kusafisha au kudumisha bila usimamizi.
ILANI Mashine yako inayoosha kwa kutumia shinikizo
iliundwa na nia ya kutumika na vipengele vya POWERflow+
PEKEE. Kutumia vipengele ambavyo havikuundwa kwa ajili
ya POWERflow+ itasababisha mashine yako inayoosha kwa
kutumia shinikizo isifanye kazi vizuri.
1
1
1
1
BRIGGSandSTRATTON.COM
BRIGGSandSTRATTON.COM

Werbung

loading