Herunterladen Diese Seite drucken

Briggs & Stratton 020632-00 BPW3000PX Bedienungsanleitung Seite 204

Werbung

Yaliyomo
Usalama na Alama za kuelekeza . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Maelezo ya Vifaa . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Kuunganisha . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Vipengele na Vielekezi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Operesheni . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Udumishaji. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 8
Kuhifadhi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 9
Utatuzi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 10
Vipengele Maalum . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 10
Udhamini . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 11
Usalama na Alama za Kuelekeza
Ishara hii ya usalama inaonyesha uwezo wa kuumia kibinafsi.
Ishara ya usalama inaweza kutumika kuwakilisha aina ya hatari.
ONYO inaonyesha athari ambayo isipoepukwa, inaweza
kusababisha kifo au majeraha makubwa. TAHADHARI
inaonyesha athari ambayo isipoepukwa, inaweza kusababisha
majeraha madogo au ya wastani. ILANI huashiria maelezo
yanayozingatiwa kuwa muhimu, lakini hayahusiani na hatari.
Ishara ya
Mwongozo wa
Usalama
Mshtuko wa Stima
Anguka
Moto
Mlipuko
Sehemu
Vitu
Zinazosonga
Vinavyopaa
WASHA
ZIMA
Usiwahi kuelekeza mkono wa kunyunyizia
upande wako, wa watu wengine au wanyama.
Usiwahi kunyunyizia karibu na chanzo cha umeme
au kifaa chenyewe. Mashine hii haifai kutumika
na watu (wakiwemo watoto) walio na upungufu
wa kimwili, uwezo wa hisia au kiakili, au ukosefu
wa uzoefu na maarifa ila tu unaposimamiwa na
kupewa maagizo kuhusu matumizi salama ya
mashine na uelewe hatari zinazohusika.
4
4
Mvuke wa
Maelekezo
Sumu
Sindano ya Kioevu
Sehemu Moto
Nywea
Maji
Kuchomwa na
Yasiyobebeka
Kemikali
!
Usiwashe
Kagua Kiwango
Injini
cha Mafuta
ONYO!
• Mashine hii imeundwa ili itumie sabuni
au ditajenti ya kusafishia iliyotolewa au
kupendekezwa na mtengenezaji. Utumiaji wa
sabuni/ditajenti au kemikali zingine huenda
ukaathiri pakubwa usalama wa mashine hii.
• Jeti za shinikizo la juu huenda zikawa hatari
zikitumiwa vibaya. Jeti ile haipaswi kuelekezwa
kwa watu, vifaa vitumiavyo umeme vilivyo
umemeni au mashine hii yenyewe.
• Usitumie mashine hii pahali ambapo watu wepo
isipokuwa kama wamevalia nguo za usalama.
• Usielekeze jeti kwako au kwa wengine kwa
minajili ya kusafishia nguo au viatu.
• Hatari ya kulipuka – Usifukize maji maji
yanayoshika moto.
• Vifaa vya kusafishia vinavyotumia shinikizo la
juu havipaswi kutumiwa na watoto au wasio na
uzoefu wala ujuzi wa kuvitumia.
• Mipira ya maji ya shinikizo la juu, vishikiliaji na
visitiri ni muhimu kwa usalama wa mashine
hii. Tumia mipira ya maji, vishikiliaji na visitiri
vilivyopendekezwa na mtengenezaji.
• Ili uhakikishe usalama wa mashine, tumia
vigeuzi asilia vinavyotoka kwa mtengenezaji au
kuidhinishwa na mtengenezaji.
• Maji yaliyobubujika kupitia kwenye vizuia
mabubujiko yanayorudi nyuma huchukuliwa
kuwa yasiyobebeka.
• Usitumie mashine hii ikiwa au sehemu muhimu za
mashine hii zimeharibika, k.mf. vyombo vya usalama,
mipira ya maji ya shinikizo la juu, bunduki ya kikabaji.
Kombora
• Pasipo na ufunguo wa kuwashia au betri,
ukatizaji unaweza kufanywa kwa njia nyingine
sawa na zile.
• Usitumie mashine zilizowezeshwa na injini
ya mwako ndani ya nyumba isipokuwa kama
uingizaji hewa wa kutosha umechunguzwa na
mamlaka za kazi za kitaifa.
• Usitumie mashine zilizowezeshwa na injini
ya mwako ndani ya nyumba isipokuwa kama
uingizaji hewa wa kutosha umechunguzwa na
mamlaka za kazi za kitaifa.
• Hakikisha kuwa uchafu wowote wa ekzosi
haupo kwenye maeneo ya upumuaji hewa.
• Mafuta/Fueli isiyokubalika haifai kutumiwa kwa
sababu huenda ziwe hatari sana.
• Wenzo wa udhibiti ukabaji unapaswa kuwa
katika hali ya STOP( ) au KIKOMO wakati
wa uoshaji au udumishaji/marekebisho na
unapobadilisha sehemu.
Lebo ya Ilani Kielelezo
Lebo ya Ilani imewekwa kwa kitengo yenu ili kuwajulisha
kuhusu uwezo wa hatari ya usalama. Lebo ikiharibiwa
au haisomeki, ibadilishe kwa kuwasiliana na muuzaji wa
Briggs & Stratton katika eneo lako ili upate ingine mpya.
6
BRIGGSandSTRATTON.COM
BRIGGSandSTRATTON.COM

Werbung

loading