Herunterladen Inhalt Inhalt Diese Seite drucken

Briggs & Stratton BPW4000 Bedienungsanleitung Seite 209

Inhaltsverzeichnis

Werbung

Verfügbare Sprachen
  • DE

Verfügbare Sprachen

  • DEUTSCH, seite 44
3. Kwa kutumia kifaa butu, kilichodhabiti chenye kipenyo cha
2mm (7/64") au ndogo zaidi kwa angaa 25.4mm (1") kwa
urefu, kama vile Allen Wrench, chomeka kifaa hicho polepole
kwenye sehemu husika mpaka pale ambapo utakapopata
upinzani. Upinzani huo ndio mpira huu wa ukaguzi.
4. Sukuma polepole mpaka pale ambapo utahisi mpira huo
ukisonga polepole,usisukume zaidi ya 3mm (1/8"). Presha
kidogo inaweza kuhitajika ili kuachilia mpira huo.
5. Rudia hatua za 3 na 4 kama itahitajika.
6. Weka upya mpira wa maji wa kufyonza sabuni kwenye
sehemu husika.
7. Tia dawa kwa kutumia PumpSaver kama ilivyofafanuliwa
katika Kuilinda Pampu wa uhifadhi ili kuzuia kuepuka hali
hiyo kutokea tena.
Ukarabati wa Ncha ya Mnyunyizo Mchoro
Safisha nje ya mnyunyizo ili kusahihisha presha ya kupindukia ya
pampu iliyosababishwa na ncha ya mnyunyizo iliyo fungamana:
1. Zima chanzo cha maji.
2. Ondoa ncha ya mnyunyizo kutoka kwenye sehemu ya
mwisho ya kirefusho cha pua.
3. Tumia klipu ndogo ya karatasi ili kuondoa chembechembe zozote
za kigeni ambazo zimeziba au zinazuia njia hiyo ya mnyunyizo (U).
4. Weka upya ncha hiyo ya mnyunyizo kwenye kirefusho cha pua.
Ukarabati wa Pete-O Mchoro 10
Matumizi ya kilainisho (mafuta au grisi iliyotengenezwa) husaidia
kuweka pete-o hizo vyama na kuboresha namna vinavyofunga
sehemu hiyo. Paka kilainishi kwenye pete-o kabla ya kuunganisha
mpira wa maji wa bustanini kwenye sehemu ya kuingizia maji ya
pampu (A), mpira wa maji wa presha ya juu hadi kwenye sehemu
ya kutolea maji ya pampu (B), mpira wa maji wa presha ya juu (C),
sehemu ya mbele ya mnyunyizo (D), na kirefusho cha pua husika (E).
Nunua Mkoba wa Ukarabati wa Pete-O kwa Kuwasiliana na
Mwuzaji wa Aliyeidhinishwa kwa kutoa Huduma wa Briggs &
Stratton. Rejelea karatasi ya maelekezo iliyotolewa kwenye
mkoba huu ili kukarabati kitengo chako cha pete-o. USIWAHI
kukarabati miunganisho inayovuja kwa kinatishi cha aina yoyote.
Sawazisha pete-o au kinatishi.
Kubadilisha Pampu ya Mafuta(oil(
ILANI
Wakati unapobadilisha mafuta(oil) ya pampu, tumia tu
mafuta ya ubora wa juu ya SAE 30 weight oil. Usitumie nyongeza
zozote maalum.
1. Safisha eneo lililo karibu na plagi ya kutolea mafuta (oil)
kwenye sehemu ya chini ya pampu.
2. Ondoa plagi ya kutolea mafuta (oil). Toa mafuta yote kabisa
hadi kwenye mkebe ulioidhinishwa.
3. Wakati ambapo mafuta (oil) yote yatakuwa yameondolewa,
weka plagi ya kutoa mafuta (oil) na uikaze kabisa.
4. Safisha eneo linalozungukia kijiti kile cha mafuta (oil) ya
pampu. Ondoa kijiti na uijaze pampu hiyo kwa kutumia
mafuta (oil) pendekezwa (takribani 355 ml (12 oz.)) hadi
kwenye alama ya "Kujaa" kwenye kijiti husika.
5. Weka kijiti cha mafuta (oil) cha pampu.
6. Pangusa mafuta (oil) yoyote ambayo yamemwagika.
Uhifadhi
Kama upangilii kutumia kioshaji kwa presha kwa zaidi ya siku 30,
lazima utayarishe injini na pampu kwa kuhifadhiwa.
Kuilinda Pampu
Ili kuilinda pampu dhidi ya uharibifu unaosababishwa na mabaki
ya madini au kuganda, tumia PumpSaver ili kuzuia uharibifu wa
kuganda na kulainisha pistoni na vinatishi.
ILANI
kutaweza kuharibu pampu na kufanya kitengo hiki kutoweza kufanya
kazi. Uharibifu wa kuganda haujajumulishwa kwenye udhamini.
Kulinda Mfumo wa Mafuta
Mafuta yanaweza kuharibika endapo yatahifadhiwa zaidi ya siku
30. Mafuta yaliyoharibika yanaweza kusababisha mabaki ya asidi
4
na gamu na kufanya mabaki haya kubakia kwenye mfumo wa
mafuta au kwenye sehemu muhimu za kabyureta.
Hakuna haja ya kuondoa mafuta kutoka kwenye injini kama
kidhibiti cha mafuta kitaongezwa kulingana na maelekezo
yaliyotolewa. Endesha injini kwa dakika 2 ili kuzungusha kidhibiti
kwenye mfumo wote wa mafuta kabla ya uhifadhi.
Kama mafuta kwenye injini hayajatiwa dawa kwa kutumia kidhiti
cha mafuta, lazima yaondolewe na kuwekwa kwenye mkebe
ulioidhinishwa. Endesha injini mpaka pale itakaposita kutokana na
ukosefu wa mafuta. Matumizi ya kidhibiti cha mafuta kwenye mkebe
wa kuhifadhi yanapendekezwa ili kuhakikisha mafuta hayo ni mazuri.
Vidokezo Vingine vya Uhifadhi
1. USIHIFADHI mafuta kutoka kwenye msimu mmoja hadi
mwingine isipokuwa tu kama yametiwa dawa kama
ilivyofafanuliwa katika Linda Mfumo wa Mafuta.
2. Funika kitengo hiki kwa kifuniko kinachofaa cha ulinzi
ambacho hakibakishi unyevunyevu.
kifuniko cha uhifadhi juu ya kioshaji kwa presha chenye joto.
Hakikisha kwamba mitambo hii imepoa kwa muda unaotosha
kabla ya kuweka kifuniko kwenye mitambo hii.
3. Hifadhi kitengo hicho katika eneo safi, kavu.
Kushindwa kulinda kitengo hiki dhidi ya halijoto ya kuganda
ONYO! Fifuniko vya uhifadhi vinaweza kusababisha
moto na hatimaye kifo au majeraha mabaya. USIWEKE
9 9

Werbung

Inhaltsverzeichnis
loading

Inhaltsverzeichnis