Herunterladen Inhalt Inhalt Diese Seite drucken

Briggs & Stratton BPW4000 Bedienungsanleitung Seite 208

Inhaltsverzeichnis

Werbung

Verfügbare Sprachen
  • DE

Verfügbare Sprachen

  • DEUTSCH, seite 44
Mfumo Otomatiki wa Kupoza (Punguzo la Kijoto(
Kupitisha maji kwenye pampu kunaweza kufikia halijoto ya juu ya
51°C (125°F) kama unaendesha kioshaji kwa presha kwa dakika
3-5 bila ya kubonyeza triga kwenye sehemu hiyo ya mbele.
Mfumo huo unahusisha pampu ya kupoza kwa kumwaga maji
yenye joto kwenye sakafu.
Kusitisha Kioshaji kwa Presha
1. Achilia triga ya sehemu ya mbele ya mnyunyizo na uiache
injini kwenda hivyo tu kwa dakika mbili.
2. Songeza throto hadi mkao wa (
wa (
) SITISHA.
3. Zima mafuta na kuyaweka kwenye mkao wa (
4. SIKU ZOTE elekeza sehemu ya mbele ya mnyunyizo katika
upande salama, bonyeza kitufe chekundu na uifinye triga
ya sehemu ya mbele ya mnyunyizo na uiwachilie ili iweze
kuachilia presha ya juu, kila wakati unapositisha injini.
ONYO! Sehemu ya mbele ya mnyunyizo hunasa presha
ya juu ya maji, ata pale ambapo injini imesitishwa na maji
yamekatizwa, hali ambayo inaweza kusababisha majeraha
mabaya. Hakikisha kwamba mpira wa maji uliounganisha kwenye
pampu unayo presha ya juu na sehemu ya mbele ya mnyunyizo
vilevile wakati mfumo unapoongezwa presha. SIKU ZOTE elekeza
sehemu ya mbele ya mnyunyizo katika upande salama, bonyeza
kitufe chekundu na uifinye triga ya sehemu ya mbele ya mnyunyizo
ili kuachilia presha ya juu, kila wakati unapositisha injini.
Baada ya Kila Matumizi
Maji yanafaa kubakia kwenye kitengo hicho kwa vipindi virefu vya
muda. Chembechembe au madini yanaweza kubakia kwenye
sehemu za pampu na kugandisha utenda kazi wa pampu. Fuata
taratibu hizi baada ya kila matumizi:
1. Zima chanzo cha maji, na uiwache injini ipoe.
2. Katiza mpira wa maji kutoka kwenye sehemu ya mbele ya
mtambo na sehemu inayotoa maji kwenye pampu. Ondoa
maji kutoka kwenye mpira wa maji, sehemu ya mbele ya
mtambo na kirefusho cha pua.
3. Weka ncha za mnyunyizo na mpira wa maji kwenye trei
ya nyongeza. Weka sehemu ya mbele ya mnyunyizo na
kirefusho cha pua kwenye nyaya husika.
4. Ondoa kwenye pampu viowevu vyote kwa kukivuta kishikio
cha waya karibu mara sita.
5. Hifadhi kitengo hicho katika eneo safi, kavu.
ILANI
Kama unahifadhi kwa zaidi ya siku 30, tazama Hifadhi.
ONYO! Mafuta na mvuke wake vyote vinaweza
kuwaka moto na kulipuka na hivyo basi
kusababisha kuungua, moto au milipuko inayoweza kusababisha
kifo au majeraha mabaya. Wakati unahifadhi mafuta au mitambo
iliyo na mafuta kwenye tangi, ihifadhi mbali na tanuu, stovu,
vipashaji maji moto, vikaushaji vya nguo, au mitambo mingineyo
iliyo na taa zilizoko kwenye sehemu ya mbele au chanzo kingine
cha kuwaka kwa sababu inaweza kuwasha mivuke ya mafuta.
8
8
) POLEPOLE kisha mkao
) ZIMA.
Ukarabati
Utaratibu wa Ukarabati
Fuata vipimo vya kila saa au kalenda, vyovyote vile vinavyokuja
mbele. Huduma ya mara kwa mara zaidi inahitajika wakati
unapoendesha kwenye hali mbaya zaidi.
Saa 5 za Kwanza
• Badilisha mafuta (oil) ya injini
Kila baada ya Saa 8 au Kila Siku
• Safisha chembechembe
• Kagua kiwango cha mafuta (oil) kwenye injini
Kila baada ya Saa 25 au Kila Mwaka
• Hudumia kisafishi cha hewa kwenye injini
Kila baada ya Saa 50 au Kila Mwaka
• Badilisha mafuta (oil) ya injini
• Kagua mafla
Kila baada ya Saa 100 au Kila Mwaka
• Plagi ya mwake ya kuhudumiwa
• Mfumo safi wa kupoza
Kila baada ya Saa 200 au miezi 3
• Badilisha mafuta (oil) ya pampu
1
Huduma hupatikana mara nyingi katika hali chafu au zenye vumbi.
3
Badilisha pampu ya mafuta (oil) baada ya saa za kwanza (50) za
utendakazi na kisha kila baada ya saa 200 au miezi 3 baada ya
hapo.
Mapendekezo ya Jumla
Ukarabati wa mara kwa mara utaboresha utendakazi na
kurefusha maisha kwa kioshaji kwa presha. Tazama wauzaji
wengine wa Utoaji Huduma hii Walioidhinishwa wa Briggs &
Stratton kwa kupata huduma. USIWARUHUSU watoto kusafisha
au kudumisha bila usimamizi.
Udhamini wa kioshaji kwa presha haujumlishi vitu, ambavyo
vimetumiwa vibaya au kupuuzwa na anayevitumia. Ili kupokea
thamani kamilifu kutoka kwenye udhamini huu, mtumizi lazima
akihifadhi kioshaji kwa presha kama alivyoelekezwa katika kabrasha
ili ukiwemo uifadhi kamilifu kama ulivyoelezewa katika Uhifadhi.
ONYO! Ili kuhakikisha usalama wa mashine, tumia tu vipuri
(spare parts) asilia kutoka kwenye mtengenezaji au mtengenezaji
aliyeidhinishwa. Endapo utakuwa na maswali yoyote kuhusu
kusawazisha vipuri hivi kwenye kioshaji kwa presha chako, tafadhali
tembelea tovuti yetu katika BRIGGSandSTRATTON.COM.
Mpira wa Ukaguzi wa Ufyonzaji Sabuni
Mara kwa mara kagua mpira kwenye mfumo wa ufyonzaji sabuni
ambao unaweza kukwama kwenye uifadhi, sabuni iliyokauka au
madini yaliyomo ndani ya maji. Mpira huo wa ukaguzi unaweza
kukarabtiwa kwa kutekeleza yafuatayo:
1. Zima chanzo cha maji.
2. Ukiwa umezima injini na kuwachilia presha kutoka kwenye
mfumo, ondoa mpira wa maji unaofyonza sabuni kutoka
kwenye sehemu husika katika pumpu.
1
1
1
3
BRIGGSandSTRATTON.COM
BRIGGSandSTRATTON.COM

Werbung

Inhaltsverzeichnis
loading

Inhaltsverzeichnis