Herunterladen Inhalt Inhalt Diese Seite drucken

Briggs & Stratton BPW4000 Bedienungsanleitung Seite 206

Inhaltsverzeichnis

Werbung

Verfügbare Sprachen
  • DE

Verfügbare Sprachen

  • DEUTSCH, seite 44
ONYO! Mafuta na mvuke wake vyote vinaweza
kuwaka moto na kulipuka na hivyo basi kusababisha
kuungua, moto au milipuko inayoweza kusababisha
kifo au majeraha mabaya. Zima injini ya kioshaji kwa presha na
ukiwache kitulie kwa angaa dakika 2 kabla ya kuondoa kifuniko cha
tangi la mafuta. Legeza kifuniko hicho polepole ili kutoa presha
kwenye tangi. Jaza tangi la mafuta ukiwa nje ya nyumba.
USIZIDISHE mafuta kwenye tangi la mafuta. Ruhusu nafasi kwa
upanuzi wa mafuta. Kama mafuta yatamwagika, subiri mpaka pale
ambapo yatakapoyeyuka kabla ya kuwasha injini. Hakikisha
kwamba mafuta yako mbali na cheche za moto, miali ya moto, taa
zilizo mbele ya mashine, joto, na vianzio vingine vya kuwasha.
Angalia viwango vya mafuta, tangi, kifuniko na vinginevyo mara
kwa mara ili kujua kama kuna nyufa au uvujaji wowote. Sawazisha
kama itahitajika. USIWASHE sigara wala moshi.
1. Safisha eneo lililo karibu na kifuniko cha tangi la mafuta,
ondoa kifuniko.
2. Polepole ongeza mafuta ya kawaida yasiyo na risasi (A)
ili kutia mafuta kwenye tangi (B). Kuwa makini ili yasifurike.
Ruhusu karibu nafasi ya tangi ipatayo sentimita 4 (1.5") (C)
ya tangi kwa minajili ya kupanuka kwa mafuta.
3. Rudisha kifuniko cha tangi la mafuta na huruhusu mafuta
yoyote yaliyomwagika kuyeyuka kabla ya kuwasha injini.
Sehemu ya Milimani
Katika sehemu za milimani zilizo juu ya 1524 m (5,000 ft.),
kiwango kidogo cha mafuta ya okteni 85 / 85 AKI (89 RON)
yanakubalika. Ili kubakia kuwa na ukubalifu wa utoaji moshi,
marekebisho ya sehemu za milimani yanahitajia. Operesheni
bila ya marekebisho haya itasababisha utendakazi uliopungua,
matumizi ya mafuta yaliyoongezeka, na utoaji moshi
ulioongezeka. Tazama Mwuzaji Aliyeidhinishwa wa Briggs
& Stratton kwa sehemu za mlimani kwa minajili ya taarifa
marekebisho haya. Operesheni ya injini katika sehemu za
milimani zilizo chini ya mita 762 m (2,500 ft.) pamoja na mkoba
wa sehemu za milima ya juu haipendekezwi.
Mahali pa Kioshaji kwa Presha Mchoro
Uwekaji Sumu wa Carbon Monoxide
ONYO! Kitolea moshi cha injini kinayo Carbon Monoxide,
gesi yenye sumu inayoweza kuua kwa dakika chache.
HUWEZI kuinusa, kuiona, au hata kuiramba. Hata kama huwezi
kunusia moshi unaotolewa, bado unaweza kukumbana na gesi ya
Carbon Monoxide. Tumia bidhaa hii nje ya nyumba PEKEE mbali na
madirisha, milango matundu ya kupitishia hewa ili kupunguza hatari ya
Carbon Monoxide dhidi ya kukusanyika na kuwa na uwezo wa kuvutwa
kuelekea kwenye nafasi zile nyingine. Weka ving'ora vya Carbon
Monoxide vinavyoendeshwa betri au ving'ora vya Carbon Monoxide
vya kuchomekwa vilivyo na chelezo cha betri kulingana na maelekezo
ya mtengenezaji. Ving'ora vya moshi haviwezi kugudua gesi ya Carbon
Monoxide. USITUMIE bidhaa hii ndani ya nyumba, gareji, vyumba vya
chini kwa chini, nafasi za kutambalia, vibada vya kuifadhia vitu, au
sehemu nyingine zilizofunikwa-kiasi ata kama unatumia feni au
unaifungua milango na madirisha kwa minajili ya kupitisha hewa.
Carbon monoxide inaweza kushinikiza kwenye nafasi hizi na kubakia
hapo kwa saa kadhaa, ata baada ya bidhaa hii kuzimwa. SIKU ZOTE
weka bidhaa hii mahali ambapo upepo unavuma ukielekea na uelekeze
kitolea moshi cha injini mbali na nafasi hizi tumika. Ukianza kuhisi
mgonjwa, kisuzi, au mnyonge wakati unatumia bidhaa hii, nenda mahali
penye hewa safi MARA MOJA. Mwone daktari. Huenda unaweza kuwa
umepumua sumu ya Carbon Monoxide.
Hatari ya Uondoaji wa Moto
ONYO! Joto/gesi zinazotolewa zinaweza kusababisha
kuwashwa kwa moto, vibanda au uharibifu wa tangi ya
mafuta na hivyo basi kusabaisha moto, na kuishia kuleta vifo au
majeraha mabaya. Hakikisha kwamba uko mbali na pande zote
za kioshaji kwa presha kwa angaa mita 1.5 (5 ft.) pamoja na
sehemu ile ya juu.
6
6
Unganisha Mpira wa Maji na Chanjo cha Maji
kwenye Pampu Mchoro
ILANI
Kagua mpira wa maji wenye presha ya juu na kuangalia
kama umekatika, unavuja au umeharibika.
1. Vuta nyuma kwenye sehemu ya pembeni ya mpira wa maji
wa presha ya juu (S), uingize kwenye sehemu ya kutoa
mnyunyizo (V) na uachilie sehemu ile ya pembeni. Funga
mpira huo wa maji na uhakikishe kwamba uko salama.
2. Rudisha nyuma sehemu ya pembeni iliyo kwenye upande ule
mwingine wa mpira wa maji na uiteleze kwenye sehemu ya
kutolea maji (M) katika pampu na uachilie sehemu hiyo husika.
Funga mpira huo wa maji na uhakikishe kwamba uko salama.
3. Kagua skrini ile ya kuingiza maji kabla ya kuunganisha ule
mpira wa maji wa bustanini kwenye sehemu ya kuingizia
maji (K). Safisha skrini kama inayo chembechembe zozote
au uisawazishe kama imeharibika. USIENDESHE kioshaji
kwa presha kama skrini ya kuingiza maji imeharibika.
4. Hakikisha kwamba chanzo cha maji kinaweza kutoa maji
katika kima cha mkondo wa maji kinachozidi lita 18.9 (galani
5.0) kwa dakika na vilevile kutopugua kima cha 0.14-
0.55 MPa (1.4-5.5 BAR au 20-80 PSI) kwenye mwisho wa
kioshaji kwa presha kule katika mpira wa maji wa bustanini.
5. Pitisha maji kwenye mpira wa maji wa bustanini ili kusafisha
chembechembe hizo.
ILANI
Tumia maji baridi TU (chini ya 38°C (100°F)).
ILANI
Kutumia kizuilizi cha maji kurudi nyuma katika pampu
ya kuingiza maji kunaweza kusababisha uharibifu wa pampu.
LAZIMA kuwepo na angaa mita 3 (10 ft.) ya mpira wa maji wa
bustanini usiozuiliwa kati ya sehemu ya kuingizia maji ya kioshaji
kwa presha na kizuiliaji cha maji katika kurudi nyuma.
ONYO! Maji ambayo yametiririka kupitia katika kizuiliaji
cha maji kurudi nyuma yanachukuliwa kuwa yanaweza
kutumika lakini si kunyweka
8
6. Unganisha mpira wa maji wa bustanini (usizidi mita 15 (50
ft.)) kwenye sehemu ya kuingizia maji na uukaze.
7. WASHA maji, bonyenza kitufe chekundu kwenye sehemu ya
kushikilia, na ufinye triga ili kufyonza hewa klutoka kwenye
mfumo. Sawazisha kishikio kama triga haifungi.
8. Ambatisha kirefusho cha pua (T) kwenye sehemu ya mbele
ya mtambo (V) na uikaze.
9. Vuta nyuma kwenye sehemu ya pembeni ya kirefusho cha
pua, chomeka ncha ya mnyunyizo na uachilie (U). Funga
kwenye ncha ya mnyunyizio ili kuhakikisha kwamba ipo
mahali pake vizuri.
Washa Kioshaji kwa Presha Mchoro 4
ILANI
USIENDESHE pampu bila ya kuunganisha maji na
kuiwasha.
1. Songesha leva ya mafuta na (E) UIWASHE (
nafasi hiyo (kuanzia kulia hadi kushoto kikamilifu).
2. Songesha leva ya kudhibiti throto (C) hadi katika mkao (
wa HARAKA, unaonyeshwa kwenye injini kama sungura.
3. Songesha leva ya kusakama (D) hadi katika mkao wa (
KUSAKAMA.
ILANI
Kwa injini yenye joto, hakikisha kwamba leva ya
kusakama iko kwenye mkoa wa (
ONYO! Kiwashi na sehemu nyingine zinazozunguka
zinaweza kujiingiza kwenye mikono, nywele, mavazi, au
nyongeza nyingine na kusababisha majeraha mabaya. USIWAHI
kuendesha kioshaji kwa presha bila ya sehemu za kukifunika au
vifuniko. USIVALIE mavazi yaliyolegea, johari au kitu chochote
kilicholegea kinachoweza kukamatwa kwenye kiwashi au sehemu
nyingine zinazozunguka. Funga nywele ndefu na uondoe johari.
4
) katika
) KUENDESHA.
BRIGGSandSTRATTON.COM
BRIGGSandSTRATTON.COM
)
)

Werbung

Inhaltsverzeichnis
loading

Inhaltsverzeichnis