Herunterladen Diese Seite drucken

Briggs & Stratton BPW3200 Bedienungsanleitung Seite 210

Werbung

Verfügbare Sprachen
  • DE

Verfügbare Sprachen

  • DEUTSCH, seite 44
Utatuzi
Tatizo
Pampu ina shida zifuatazo:
Kushindwa kuzalisha shinikizo,
shinikizo zisizokuwa na uhakika,
kelele nyingi, kupoteza shinikizo,
kiwango cha maji kilicho chini.
Sabuni inashindwa kuchanganyika
na mfukizo.
Injini inaenda vizuri wakati hakuna
mzigo lakini inakwama wakati
mzigo unaongezwa.
Injini haiwaki, inazimika wakati
wa inatumika au inawaka na
kunguruma vibaya.
Kwa masuala mengine yote, mwone muuzaji wa Briggs & Stratton.
Vipengele Maalum
Mfano
Shinikizo Linaloweza Kuruhusika MPa/BAR/PSI
Upeo wa Bubujiko
Kipimo kilichowekwa cha
Shinikizo na Bubujiko
Tepmrecha ya Juu Zaidi ya Maji
Yanayosambazwa
Nguvu ya kusongeza
Pengo ya Spaki Plagi
Kiasi ya Petroli
Kiasi ya Mafuta
Shinikizo ya Sauti @ mita 3
Upimaji Wa Nguvu Ya Stima: Upimaji wa nguvu yote kwa ujumla ya injini ya petroli imewekewa lebo kulingana na kodi ya SAE (Society of
Automotive Engineers) J1940 mfumo wa kupima nguvu ya injini ndogo, na ilipimwa kwa mujibu wa SAE J1995. Matokeo ya nguvu yote kwa
ujumla ya 'torque' hupatikana kutoka 2600 RPM kwa zile injini zilizo na "rpm" kwa lebo na 3060 RPM kwa zingine zote, matokeo ya nguvu
ya 'horsepower' hupatikana kutoka 3600 RPM. Vizingo vya nguvu jumla vinaweza kutazamwa kwa www.BRIGGSandSTRATTON.COM.
Matokeo ya nguvu yanachukuliwa na eksozi na kichujio cha hewa zikitumika ilhali nguvu jumla zinapatwa bila kuziongeza. Nguvu ya injini kwa
ujumla itakuwa nyingi kuliko nguvu ya injini na inaathiriwa na mazingira ya operesheni na tofauti ya injini zinazotimika. Kutokana na upana wa
bidhaa ambazo injini zimewekwa, injini za petroli zinawezekana zisitoe nguvu zilizopimiwa nayo wakati zimetumika katika kifaa kinachotumia
nguvu yake. Tofauti hii ni kutokana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na, aina tofauti ya vipengele vya injini (hewa safi, eksozi, kuchaji,
kupoesha, kabureta, pampu za mafuta, na kadhalika), upungufu wa vipengele, mazingira (joto, unyevu , urefu), na tofauti ya injini. Kutokana na
upungufu wa kiasi ya utengenezaji, Briggs & Stratton wanaweza kuibadilisha injini hii iliyo na nguvu nyingi zaidi.
* Kulingana na EN 60335-2-79: 2012.
§ Sauti zilizopimwa kwa mujibu wa kanuni za Tasmanian Environmental Management and Pollution Control (Kelele nyingine).
10
10
Sababisho
1. Ncha ya Kufukiza ya shinikizo kidogo
imewekwa.
2. Tundu la kuingiza maji limezibwa.
3. Upungufu wa maji.
4. Mpira wa maji unaoleta maji umekunjana au
unavuja.
5. Pazia ya mpira wa maji unaoleta maji
imezibwa.
6. Maji yanayosambazwa yako juu ya 38°C
(100°F).
7. Mpira wa maji ulio na shinikizo ya juu
imezibwa au inavuja.
8. Bunduki ya mfukizo inavuja.
9. Ncha ya Kufukiza imezibwa.
1. Tubu ya kutoa sabuni haijachovya.
2. Tubu ya sabuni imezibwa ama imepasuka.
3. Ncha ya Kufukiza ya shinikizo ya juu
imewekwa.
4. Angalia kama mpira umekwama katika
mfumo wa sabuni.
Kasi ya injini ni ya polepole zaidi.
1. Swichi ya injini iko katika nafasi ya OFF (0).
2. Kiwango ya chini ya mafuta.
3. Mafuta yameisha.
4. Waya ya spaki plagi haikuwa
imeshikanishwana spaki plagi yenyewe.
5. Mafuriko.
LPM/GPM
MPa/BAR/PSI @ LPM/GPM
°C/°F
cc/cu. in.
milimita/in.
lita/Qt.
lita/aunzi
dBA
Sahihisho
1. Badilisha na ncha ya kufukiza iliyo na
shinikizo ya juu.
2. Safisha tundu la kuingizia maji.
3. Patiana mtiririko wa maji unaotosha.
4. Nyoosha mpira wa maji, weka kiraka kwa
sehemu inayovuja.
5. Angalia na usafishe pazia ya tundu la mpira
wa maji.
6. Sambaza maji yaliyo baridi.
7. Toa uchafu kwa tundu la kutoa la mpira wa
maji, badilisha kama inavuja.
8. Badilisha bunduki ya mfukizo.
9. Safisha ncha ya kufukiza.
1. Weka tubu ya kutoa sabuni kwa sabuni.
2. Safisha au badilisha tubu ya kutoa
sabuni.
3. Badilisha na ncha ya kufukiza nyeusi.
4. Kagua mpira wa ufyonzaji wa sabuni.
Songeza wenzo ya transfoma ndogo ya gari
hadi kwa nafasi ya(
1. Weka swichi ya injini kwa nafasi ya ON (I).
2. Jaza kifuniko ya fitokombo kwa kiwango
sahihi.
3. Jaza tenki ya mafuta.
4. Unganisha wire kwa kizibaji cha cheche
5. Subiri dakika 5 na washa injini tena.
020740-00
23.4/234/3,400 *
11.0/2.9 *
21.4/214/3,100 @ 8.7/2.3 *
38/100
208/22.69
0.76/0.030
2.8/3.0
0.6/20
94 §
)FAST.
020741-00
22.1/221/3,200*
11.0/2.9*
19.3/193/2,800 @ 8.3/2.2 *
38/100
208/22.69
0.76/0.030
2.8/3.0
0.6/20
94 §
BRIGGSandSTRATTON.COM
BRIGGSandSTRATTON.COM

Werbung

loading

Diese Anleitung auch für:

020740-00020741-00020740-01020741-01