Herunterladen Diese Seite drucken

Briggs & Stratton BPW3200 Bedienungsanleitung Seite 208

Werbung

Verfügbare Sprachen
  • DE

Verfügbare Sprachen

  • DEUTSCH, seite 44
Kutumia Sabuni
Takwimu
ONYO! Kemikali zinaweza kusababisha kuungua
kunakosababisha kifo au majeraha mabaya.
USITUMIE kiolevu kinachotokana na magadi soda
katika kioshaji cha presha. Tumia TU kioshaji kwa presha na
sabuni/vioshaji salama. Fuata maelekezo ya utengenezaji.
Ili utumie sabuni, fuata hatua zifuatazo:
1. Weka tubu ya kumwaga sabuni ndani (J) ya kontena
iliyo na sabuni.
2. Weka ncha nyeusi ya kufukiza sabuni.
ILANI Sabuni haiwezi kuwekwa na ncha ya kufukiza iliyo
na shinikoza ya juu (Nyeupe, Kijani, Njano au Nyekundu).
3. Weka sabuni kwa sehemu kavu, kuanzia sehemu ya
chini ya eneo hilo na uoshe kuelekea juu, kwa kufagia
refu, kawaida, na kufagia zinazopitana.
4. Ruhusu sabuni "kuloweka" vile watengenezaji wa
sabuni wameelekeza kabla ya kuosha na kusuuza.
ILANI Osha mfumo wa kumwaga sabuni baada ya kila
matumizi kwa kuweka tubu ndani ya ndoo ilio na maji safi,
halufu utumie mashine inayotumia shinikizo na ncha nyeusi
ya kufukiza kwa dakika 1 hadi 2.
Kusuuza Mashine Inayoosha Kwa Shinikizo
Kwa Kusuuza:
1. Toa ncha nyeusi ya kufukiza sabuni kutoka kwa ugani
wa bomba.
2. Chagua na uweke ncha ya kufukiza iliyo na shinikizo ya juu.
ONYO! Kule kurudi nyuma kwa sehemu ya mbele ya
mnyunyizo kunaweza kufanya kuanguka na
kusababisha kifo au majeraha mabaya. Tumia
kioshaji kwa presha kutoka kwenye sehemu dhabiti. Kuwa
makini sana kama ni lazima utumie mashine inayoosha kwa
kutumia shinikizo kutoka kwa juu ya ngazi, jukwaa, au
maeneo kama hayo. Shikilia kwa nguvu sehemu ile ya mbele
ya mnyunyizo kwa mikono yote miwili wakati unapotumia
mnyunyizo wa presha ya juu ili kuepuka jeraha wakati
ambapo sehemu ya mbele ya mnyunyizo itakaporuka nyuma.
3. Tumia mnyunyizo wa presha ya juu katika eneo ndogo
na ukague sehemu hiyo endapo imeharibika. Kama
haijaribika, endelea kusuuza.
4. Anza kwa eneo la juu la kusuuzwa, ukielekea chini na
vifagio vinavyopitana jinsi ulifanya ukiosha.
Mbinu ya Kujipoesha (Kupunguza Joto)
Maji yanazozunguka kwa pampu yanaweza kufikia joto ya juu
inayozidi 51°C (125°F) kama unatumia mashine inayoosha
kwa kutumia shinikizo kwa dakika 3 hadi 5 bila kubonyeza
kifyatulio kwa bunduki. Mfumo unapoesha pampu kwa
kumwaga maji moto kwenye ardhi.
Zima Mashine Inayoosha kwa Kutumia Shinikizo
1. Achilia kifyatulio cha bunduki ya mfukizo na uwache
injine itulie kwa dakika mbili.
2. Songesha kidude hadi nafasi ya TARATIBU. (
3. Zungusha Injini hadi nafasi ya ZIMA (0).
4. DAIMA elekeza bunduki ya kufukiza katika mwelekeo
ambao ni salama, bonyeza kibonyezi nyekundu halafu
finya bunduki ili kuachilia presha ya juu, kila wakati, kila
wakati unasimamisha injini.
8
8
4
)
ONYO! Sehemu ya mbele ya mnyunyizo hunasa
presha ya juu ya maji, ata pale ambapo injini
imesitishwa na maji yamekatizwa, hali ambayo
inaweza kusababisha majeraha mabaya. Hakikisha
kwamba mpira wa maji uliounganisha kwenye pampu
unayo presha ya juu na sehemu ya mbele ya mnyunyizo
vilevile wakati mfumo unapoongezwa presha. SIKU ZOTE
elekeza sehemu ya mbele ya mnyunyizo katika upande
salama, bonyeza kitufe chekundu na uifinye triga ya
sehemu ya mbele ya mnyunyizo ili kuachilia presha ya juu,
kila wakati unapositisha injini.
Baada ya Kila Matumizi
Maji hayapaswi kubaki katika kitengo hiki kwa muda mrefu.
Mchanga au madini yanaweza kusanyika juu ya sehemu za pampu
na kuilemaza pampu. Fuata taratibu hizi baada ya kila matumizi:
1. Zima maji, na uache injini ipoe.
2. Toa mpira wa maji kutoka kwa bunduki na tundu la kutoa
kwenye pampu. Ondoa maji kutoka kwenye mpira wa
maji, sehemu ya mbele ya mtambo na kirefusho cha pua.
3. Weka ncha ya unyunyizaji na mpira wa maji kwenye
mpini. Weka bunduki ya unyunyizaji na kienezi cha
nozeli katika muundo wa waya.
4. Toa vioevu vyote kwa pampu kwa kuvuta mpini wa
nywea kama mara sita.
5. Hifadhi kitengo katika eneo safi na kavu.
ILANI Kama unahifadhi kwa zaidi ya siku 30, angalia Uhifadhi.
ONYO! Mafuta na mvuke wake vyote
vinaweza kuwaka moto na kulipuka na hivyo
basi kusababisha kuungua, moto au milipuko
inayoweza kusababisha kifo au majeraha mabaya. Wakati
unahifadhi mafuta au mitambo iliyo na mafuta kwenye tangi,
ihifadhi mbali na tanuu, stovu, vipashaji maji moto, vikaushaji
vya nguo, au mitambo mingineyo iliyo na taa zilizoko kwenye
sehemu ya mbele au chanzo kingine cha kuwaka kwa
sababu inaweza kuwasha mivuke ya mafuta.
BRIGGSandSTRATTON.COM
BRIGGSandSTRATTON.COM

Werbung

loading

Diese Anleitung auch für:

020740-00020741-00020740-01020741-01