Herunterladen Diese Seite drucken

Briggs & Stratton BPW3200 Bedienungsanleitung Seite 205

Werbung

Verfügbare Sprachen
  • DE

Verfügbare Sprachen

  • DEUTSCH, seite 44
Lebo ya Onyo Kielelezo
Sehemu ya onyo inawekwa kwenye mtambo wako ili
kukufahamisha kuhusu hatari za usalama zinazoweza
kufanyika. Lebo ikiharibiwa au haisomeki, ibadilishe kwa
kuwasiliana na muuzaji wa Briggs & Stratton katika eneo
lako ili upate ingine mpya.
Maelezo ya Mawasiliano ya Ofisi ya Ulaya
Ukiwa na maswali kuhusiana na mafukizo ya Ulaya,
tafadhali wasiliana na ofisi yetu ya Ulaya kupitia:
Max-Born-Straße 2, 68519 Viernheim, Ujerumani
Maelezo ya Vifaa
Soma mwongozo huu kwa makini na ujijuze
kuhusu kioshaji cha presha. Jua matumizi
yake , mapungufu yake, na hatari zozote
zinazohusika. Hifadhi maelekezo haya ya kiasili kwa
ajili ya kumbukumbu za baadaye.
Mfumo huu wa ubora wa juu wa makazi unayo magurudumu
ya sentimita 25.4 (10") , na pampu ya jira ya cam iliyo na
pistoni za chuma cha pua, mfumo otomatiki wa kupoza,
mfumo wa kivuta kitakasaji, vidokezo chapu za kuunganisha
mnyunyizo, mpira wa maji mzito upatao mita 9.1 m (30'), na
zaidi.
Kila jitihada imefanyika ili kuhakikisha kuwa taarifa katika
mwongozo huu ni sahihi na wa kisasa. Hata hivyo,
tunahifadhi haki ya kubadilisha, kurekebisha, au vinginevyo
kuboresha bidhaa hii na waraka huu wakati wowote bila
arifa ya mapema.
ILANI Kama una maswali kuhusu matumizi, uliza mtu
anayeuza ama kituo cha huduma kilichohitimu. USIWAHI
kutumia mashine haya yakiwa na sehemu zilizovunjika au
zinazokosekana, au bila ya sehemu yake inayoyafunika
au vifuniko. USILENGE kifaa chochote cha usalama katika
mashine hii. USIBADILISHE kioshaji kwa presha kwa njia
yoyote ile. Vifaa hivi viliundwa kutumiwa na bidhaa za nguvu
na zilizoidhinishwa za Briggs & Stratton PEKEE
Kusafirisha
Wakati unasafirisha vifaa na gari au trela, MWAGA mafuta
kutoka kwa tenki au zima valvu ya mafuta, kama unayo,
iwe katika nafasi ya OFF (0). USIWEKE injini au mitambo
katika hali ambayo itasababisha mafuta kumwagika.
Uunganishwaji
Ambatisha Kipini Takwimu
1. Weka mpini (2, A) kwenye nguzo na lainisha
mashimo.
2. Ingiza komeo za gari (2, B) kupitia mashimo ndani
ya kitengo, shikanisha na mpira wa plastiki (2, C) na
ukaze.
3. Ambatisha vibano vya springi ya chuma (3,A) kwa
kuweka komeo za kukaza (3,B) kwenye mashimo
yaliyo upande wa kushoto wa mpini (unaoangalia
upande wa mbele wa kifaa). Ambatisha vifundo vya
plastiki (3,C) na kukaza.
4. Ingiza vitanzi vya mpira (3,D) kwenye mashimo ya
mpini.
ILANI Ili kuweka kwa urahisi, kwanza weka vitanzi vya
mpira kwenye maji ya sabuni.
1
2 3
Vipengele na Vidhibiti Takwimu
A
Mpira wa Maji wa Presha ya
Juu
B
Vidokezo vya Mnyunyizo
C
Kichujio cha Hewa
D
Pampu
E
Sehemu ya Kutolea
Presha ya Juu
F
Sehemu ya Kuingizia Maji
G
Sehemu ya Onyo
H
Mfumo Otomatiki wa
Kupoza
J
Neva ya Kufyonza Sabuni
K
Lebo ya Utambulisho
Operesheni
Mapendekezo ya Mafuta Kielelezo
Tunapendekeza utumie oili Zilizothibitishwa zenye Dhamana
za Briggs & Stratton kwa utendaji bora. Sabuni zilizo na
mafuta za aina nyingine ya ubora wa juu zinakubaliwa kama
zimewekwa kwa makundi ya huduma SF, SG, SH, SJ au
zaidi. USITUMIE nyongeza maalum.
Joto ya nje huamua mnato sahihi wa mafuta unaotumika kwa
injini. Tumia chati kuchagua mnato bora kwa ajili ya joto ya
nje inayotarajiwa.
* Chini ya 4°C (40°F) matumizi ya SAE 30 itasababisha ugumu
wakati wa kuwasha.
** Zaidi ya 27°C (80°F) matumizi ya 10W30 yanaweza kusababisha
kuongezeka kwa matumizi ya mafuta. Angalia kiwango cha oili
mara kwa mara.
Kuchunguza/Kuongeza Mafuta ya Injini Takwimu
Kiwango cha mafuta kinafaa kukaguliwa kabla ya kila
matumizi au angaa kila baada ya saa 8 za operesheni.
Dumisha kiwango cha mafuta.
1. Hakikisha mashine inayoosha na shinikizo iko kiwango
laini.
2. Safisha eneo karibu na sehemu ya kuongeza mafuta
(4,M) na utoe kifuniko cha sehemu hiyo ya kuongezea
mafuta.
3. Hakikisha mafuta yamefika hadi kiwango cha kufurika
(6,A) kwenye sehemu ya kuweka mafuta.
4. Ikiwa inahitajika, weka mafuta polepole kwenye
sehemu ya kuweka mafuta. Angalia kiwango cha
mafuta mara kwa mara, jaza hadi kiwango cha kufurika.
ILANI Pumzika ili kuruhusu mafuta kutulia. Pangusa
ufito wa kuingiza hadi kuwa safi kila wakati unachunguza
kiwango cha mafuta. USIZAJE kufurika.
5. Sawazisha na ukaze kifuniko cha mafuta.
ILANI USIJARIBU kuzungusha au kuwasha injini kabla
ijahudumiwa vizuri na mafuta yaliyopendekezwa. Hii
inaweza kuharibu injini.
TAHADHARI Epuka mgusano wa ngozi na oili ya mtambo
iliyotumika kwa mda mrefu. Mafuta ya gari yaliyotumiwa
yamegunduliwa kusababisha saratani ya ngozi katika
wanyama fulani kule maabarani. Safisha kwa kina maeneo
yaliyo na jeraha au wazi kwa sabuni na maji.
L
Kuvuja kwa Mafuta(oil)
M
Kujaza Mafuta(oil)
N
Swichi ya Mtambo
P
Kiwashi cha Waya
R
Valvu ya Mafuta
S
Leva ya Kusakama
T
Leva ya Throto
U
Tangi la Mafuta
V
Kirefusho cha Pua Kilicho
na Unganisho la Haraka
W
Sehemu ya mbele ya
Mnyunyizo
5
4 6
4
5 5

Werbung

loading

Diese Anleitung auch für:

020740-00020741-00020740-01020741-01