Herunterladen Inhalt Inhalt Diese Seite drucken

Briggs & Stratton BPW3000 Bedienungsanleitung Seite 209

Inhaltsverzeichnis

Werbung

Verfügbare Sprachen
  • DE

Verfügbare Sprachen

  • DEUTSCH, seite 44
Ukarabati
Ratiba Ya Ukarabati
Fuata kila saa au vipinda vya kalenda, kwa namna yoyote
itakayotokea ya kwanza. Huduma ya mara kwa mara zaidi
inahitajika wakati unapoendesha kwenye hali mbaya zaidi.
Masaa Matano ya Kwanza
• Badilisha mafuta ya injini
Kwa Kila Masaa 8 ama Kila Siku
• Safisha uchafu
• Kagua kiwango cha mafuta injini
Kwa Kila Masaa 25 ama Kila Mwaka
• Safisha injini ya hewa na kisafishaji cha mbele
Kwa Kila Masaa 50 ama Kila Mwaka
• Badilisha mafuta ya injini
• Hudumia mfumo wa kutoa hewa nje
Kila Mwaka
• Badilisha plagi ya spaki
• Badilisha kisafishaji cha hewa ya injini kutumia kisafishaji
cha mbele
• Hudumia mfumo wa mafuta
• Hudumia mfumo wa kutia baridi
Hudumia mara nyingi zaidi katika hali chafu au iliyo na vumbi.
1
Mapendekezo Kwa Ujumla
Ukarabati wa mara kwa mara utaboresha utekelezaji na kuongezea
maisha ya mashine inayoosha kwa kutumia shinikizo. Angalia
muuzaji yeyote wa Briggs & Stratton kwa ajili ya huduma.
USIWARUHUSU watoto kusafisha au kudumisha bila usimamizi.
Udhamini wa kioshaji kwa presha haujumlishi vitu, ambavyo
vimetumiwa vibaya au kupuuzwa na anayevitumia. Ili apate
thamani yote ya Udhamini, fundi lazima adumishe mashine
inayoosha kwa kutumia shinikizo kama maelekezo katika
mwongozo huu yanasema, pamoja na uhifadhi sahihi kama
ilivyoelezwa katika Uhifadhi.
ONYO! Ili kuhakikisha usalama wa mashine, tumia vipuri asili
tu kutoka kwa watengenezaji au vilivyothibitishwa na
watengenezaji. Kama una maswali kuhusu kubadilisha
vipengele katika mashine yako inayoosha kwa kutumia
shinikizo, tafadhali angalia tovuti yetu katika
BRIGGSandSTRATTON.COM.
Mpira wa Kuchunguza Mfumo wa Kutoa Sabuni kwa Bomba
Angalia mara kwa mara mpira katika mfumo wa kutoa sabuni kwa
bomba, inaweza kwama kutoka hifadhi, sabuni kavu, au madini
kwa maji. Mpira wa Kuchunguza Mfumo unaweza kutolewa kwa
kufanya yafuatayo:
1. Zima maji.
2. Injini ikiwa imezimwa na shinikizo imetolewa kwa mfumo, toa
mpira unaovuta sabuni kutoka nyaya iliyo kwa pampu.
3. Ukitumia chombo imara, isiyo na pembe kali na kipenyo ya
milimita 2 (inchi 7/64) au ndogo kwa angalau urefu wa milimita
25.4 (inchi 1), kama vile bisibisi ya Allen, ingiza chombo icho
polepole katika nyaya mpaka uskikie upinzani. Upinzani huo
ndio mpira huu wa ukaguzi.
4. Sukuma polepole mpaka pale ambapo utahisi mpira huo
ukisonga polepole,usisukume zaidi ya 3mm (1/8"). Shinikiza
kidogo inaweza hitajika kutoa mpira.
5. Rudia hatua 4 na 5 kama inahitajika.
6. Rudisha tubu inaovuta sabuni kwenye nyaya.
7. Itengeneza na PumpSaver kama ilivyoelezwa katika Kuilinda
Pampu wakati wa kuhifadhi ili kuzuia marudio.
1
1
Utunzaji wa Ncha ya Kifukizi
Safisha nje ya mnyunyizo ili kusahihisha presha ya kupindukia ya
pampu iliyosababishwa na ncha ya mnyunyizo iliyo fungamana:
1. Zima maji.
2. Toa ncha ya kufukiza kutoka kwa mwisho wa ugani wa
bomba.
3. Tumia kipini cha kushikilia karatasi kutoa kitu chochote
kigeni kinachoziba au kuzuia ncha kinyunyizio (W).
4. Rudisha ncha ya kufukiza katika ugani wa bomba.
Kutunza Pete ya O Takwimu 11
Matumizi ya kilainisho (mafuta au grisi iliyotengenezwa) husaidia
kuweka pete-o hizo vyama na kuboresha namna vinavyofunga sehemu
hiyo. Paka mafuta kwa o-rings kabla ya kuweka mpira wa maji juu
ya pampu (A), mpira wa maji ulio na shinikizo ya juu (B), bunduki ya
mfukizo (C), na ugani wa bomba (D).
Nunua Mkoba wa Ukarabati wa Pete-O kwa Kuwasiliana na
Mwuzaji wa Aliyeidhinishwa kwa kutoa Huduma wa Briggs &
Stratton. Rejelea karatasi ya maelekezo iliyotolewa kwenye
mkoba huu ili kukarabati kitengo chako cha pete-o. KAMWE
usikarabati viungo vinavyovuja na muhuri wa aina yoyote.
Badilisha o-ring au muhuri.
Uhifadhi
Kama huna mpango wa kutumia mashine inayoosha kwa kutumia
shinikizo kwa zaidi ya siku 30, lazima uandae injini na pampu kwa
ajili ya kuhifadhi.
Kulinda Pampu
Ili kulinda pampu kutoka uharibifu unaosababishwa na kukusanyika
kwa madini au baridi, tumia PumpSaver kuzuia uharibifu wa baridi
na sisima mchi wa mashine na mihuri.
ILANI Kushindwa kuilinda kitengo kutoka barida itaiharibu
pampu na kuifanya kitengo isiweze kutumika. Uharibifu kwa
sababu ya baridi haiko kwa udhamini.
Kulinda Mfumo wa Mafuta
Mafuta inaweza kuoza wakati imehifadhiwa kwa zaidi ya siku 30.
Mafuta yaliyooza husababisha asidi na fizi kukusanyika katika mfumo
wa mafuta au kwenye sehemu muhimu za kabureta.
Hakuna haja ya kumwaga petroli kutoka injini kama kiimarishaji
cha mafuta ni kinaongezwa kwa mujibu wa maelekezo. Endesha
injini kwa dakika 2 ili kusambaa kiimarishaji katika mfumo wa
mafuta kabla ya kuhifadhi.
Kama petroli katika injini haijawahi kutibiwa na kiimarishaji cha
mafuta, ni lazima imwagwe katika kontena iliyoidhinishwa. Endesha
injini mpaka izime kutokana na ukosefu wa mafuta. Matumizi ya
kiimarishaji cha mafuta kwenye kontena ya kuhifadhi inapendekezwa
kwa ajili ya kudumisha usafi.
Vidokezo Vingine vya Kuhifadhi
1. USIHIFADHI mafuta kutoka msimu mmoja hadi mwingine ila
iwe imetibiwa kama ilivyoelezwa katika Mfumo Wa Kulinda
Mafuta.
2. Funika kitengo na kifuniko kinachofaa na hakihifadhi unyevu.
ONYO! Fifuniko vya uhifadhi vinaweza kusababisha moto
na hatimaye kifo au majeraha mabaya. USIWEKE kifuniko
cha hifadhi juu ya mashine inayoosha kwa kutumia
shinikizo moto. Hakikisha kwamba mitambo hii imepoa kwa muda
unaotosha kabla ya kuweka kifuniko kwenye mitambo hii.
3. Hifadhi kitengo katika eneo safi na kavu.
Takwimu
4
9 9

Werbung

Inhaltsverzeichnis
loading

Inhaltsverzeichnis