Herunterladen Inhalt Inhalt Diese Seite drucken

Briggs & Stratton BPW3000 Bedienungsanleitung Seite 205

Inhaltsverzeichnis

Werbung

Verfügbare Sprachen
  • DE

Verfügbare Sprachen

  • DEUTSCH, seite 44
Lebo ya Onyo Kielelezo
Sehemu ya onyo inawekwa kwenye mtambo wako ili
kukufahamisha kuhusu hatari za usalama zinazoweza
kufanyika. Lebo ikiharibiwa au haisomeki, ibadilishe kwa
kuwasiliana na muuzaji wa Briggs & Stratton katika eneo
lako ili upate ingine mpya.
Maelezo ya Mawasiliano ya Ofisi ya Ulaya
Ukiwa na maswali kuhusiana na mafukizo ya Ulaya,
tafadhali wasiliana na ofisi yetu ya Ulaya kupitia:
Max-Born-Straße 2, 68519 Viernheim, Ujerumani
Maelezo ya Vifaa
Soma mwongozo huu kwa makini na ujijuze
kuhusu kioshaji cha presha. Jua matumizi
yake , mapungufu yake, na hatari zozote
zinazohusika. Hifadhi maelekezo haya ya kiasili kwa
ajili ya kumbukumbu za baadaye.
Kioshaji hiki cha presha kinafanya kazi katika kiwango cha
juu cha 20.7 MPa (3,000 PSI) na kima cha mtiririrko cha
kufikia lita 10.6 (galani 2.8) kwa dakika. Mfumo huu wa ubora
wa juu wa makazi unayo magurudumu ya sentimita 25.4
(10") , na pampu ya jira ya cam iliyo na pistoni za chuma
cha pua, mfumo otomatiki wa kupoza, mfumo wa kivuta
kitakasaji, vidokezo chapu za kuunganisha mnyunyizo, mpira
wa maji mzito upatao mita 9.1 m (30'), na zaidi.
Kila jitihada imefanyika ili kuhakikisha kuwa taarifa katika
mwongozo huu ni sahihi na wa kisasa. Hata hivyo,
tunahifadhi haki ya kubadilisha, kurekebisha, au vinginevyo
kuboresha bidhaa hii na waraka huu wakati wowote bila
arifa ya mapema.
ILANI Kama una maswali kuhusu matumizi, uliza mtu
anayeuza ama kituo cha huduma kilichohitimu. USIWAHI
kutumia mashine haya yakiwa na sehemu zilizovunjika au
zinazokosekana, au bila ya sehemu yake inayoyafunika
au vifuniko. USILENGE kifaa chochote cha usalama katika
mashine hii. USIBADILISHE kioshaji kwa presha kwa njia
yoyote ile. Vifaa hivi viliundwa kutumiwa na bidhaa za nguvu
na zilizoidhinishwa za Briggs & Stratton PEKEE
Kusafirisha
Wakati unasafirisha vifaa na gari au trela, MWAGA mafuta
kutoka kwa tenki au zima valvu ya mafuta, kama unayo,
iwe katika nafasi ya OFF (0). USIWEKE injini au mitambo
katika hali ambayo itasababisha mafuta kumwagika.
Uunganishwaji
Ambatisha Kipini na Trey ya Vifaa Takwimu
1. Weka mpini (1, A) kwenye nguzo (1, B)na lainisha
mashimo (1, C).
2. Ingiza bolti za kushikilia (2, A kupitia shimo kwenye
kitengo cha nyuma, shikanisha na kipini cha plastiki
(2, B) halafu kaza.
3. Weka sahani ya vifaa vya ziada (3, A) juu ya mashimo
(3, B) zilizo kwa mpini na usukume komeo za mti (3, C)
kwenye mashimo.
5
Vipengele na Vidhibiti Takwimu
Sehemu ya mbele ya
A
Mnyunyizo
B
Trei ya Nyongeza
C
Kichujio cha Hewa
D
Leva ya Throto
E
Leva ya Kusakama
F
Valvu ya Mafuta
G
Kiwashi cha Waya
H
Pampu
J
Sehemu ya Kutolea
Presha ya Juu
K
Sehemu ya Kuingizia
Maji
Lebo ya Utambulisho
L
Operesheni
Mafuta
Mapendekezo ya Mafuta Kielelezo
Tunapendekeza utumie oili Zilizothibitishwa zenye Dhamana
za Briggs & Stratton kwa utendaji bora. Sabuni zilizo na
mafuta za aina nyingine ya ubora wa juu zinakubaliwa kama
zimewekwa kwa makundi ya huduma SF, SG, SH, SJ au
zaidi. USITUMIE nyongeza maalum.
Joto ya nje huamua mnato sahihi wa mafuta unaotumika kwa
injini. Tumia chati kuchagua mnato bora kwa ajili ya joto ya
nje inayotarajiwa.
* Chini ya 4°C (40°F) matumizi ya SAE 30 itasababisha ugumu
wakati wa kuwasha.
** Zaidi ya 27°C (80°F) matumizi ya 10W30 yanaweza kusababisha
kuongezeka kwa matumizi ya mafuta. Angalia kiwango cha oili
mara kwa mara.
Kuchunguza/Kuongeza Mafuta ya Injini Takwimu
Kiwango cha mafuta kinafaa kukaguliwa kabla ya kila
matumizi au angaa kila baada ya saa 8 za operesheni.
Dumisha kiwango cha mafuta.
1. Hakikisha mashine inayoosha na shinikizo iko kiwango
laini.
2. Safisha eneo karibu na sehemu ya kuongeza mafuta (A)
na utoe kifuniko cha sehemu hiyo ya kuongezea mafuta.
3. thibitisha kuwa mafuta yako karibu kufurika (B) kwenye
sehemu ya kuwekea mafuta.
4. Kama itahitajika, mwaga polepole mafuta kwenye sehemu
hiyo ya kuongezea mafuta hadi kufikia kwenye kiwango
1 2 3
cha kufurika pale katika sehemu ya kuongezea mafuta.
5. Sawazisha na ukaze kifuniko cha mafuta.
ILANI USIJARIBU kuzungusha au kuwasha injini kabla
ijahudumiwa vizuri na mafuta yaliyopendekezwa. Hii
inaweza kuharibu injini.
TAHADHARI Epuka mgusano wa ngozi na oili ya mtambo
iliyotumika kwa mda mrefu. Mafuta ya gari yaliyotumiwa
yamegunduliwa kusababisha saratani ya ngozi katika
wanyama fulani kule maabarani. Safisha kwa kina maeneo
yaliyo na jeraha au wazi kwa sabuni na maji.
Mfumo Otomatiki wa Kupoza
M
N
Neva ya Kufyonza Sabuni
P
Kuvuja kwa Mafuta(oil)
R
Kujaza Mafuta(oil)
S
Swichi ya Mtambo
T
Tangi la Mafuta
U
Sehemu ya Onyo
V
Mpira wa Maji wa Presha ya Juu
W
Vidokezo vya Mnyunyizo
X
Kirefusho cha Pua Kilicho na
Unganisho la Haraka
6
4
7
5 5

Werbung

Inhaltsverzeichnis
loading

Inhaltsverzeichnis