Herunterladen Inhalt Inhalt Diese Seite drucken

Briggs & Stratton BPW3000 Bedienungsanleitung Seite 206

Inhaltsverzeichnis

Werbung

Verfügbare Sprachen
  • DE

Verfügbare Sprachen

  • DEUTSCH, seite 44
WEKA MBALI KUTOKA KWA WATOTO.
USICHAFUE. LINDA RASILIMALI. RUDISHA MAFUTA
YALIYOTUMIKA KWA VITUO VYA KUKUSANYA.
Ongeza Mafuta
Takwimu
Mafuta lazima yakidhi mahitaji haya:
• Petroli iliyo safi, mbichi na isiyo na madini.
• Kima cha chini cha 87 octane/87 AKI (91 RON). Kwa
mwinuko wa juu, angalia Mwinuko wa Juu.
• Petroli iliyo na hadi asilimia kumi ya ethanoli (gasohol)
inakubalika.
ILANI Matumizi ya mafuta ambayo haijaidhinishwa
inaweza kuharibu mashine inayoosha na shinikizo
na inafuta udhamini. USITUMIE petroli ambayo
haijaidhinishwa kama vile E15 na E85. USICHANGANE
mafuta katika petroli au urekebisha injini itumie mafuta
tofauti. Ili kulinda mfumo wa mafuta dhidi ya uundaji wa
gamu changanya kidhibiti cha mafuta wakati unapokuwa
ukiongeza mafuta kwenye mashine yako. Angalia Hifadhi.
Mafuta yote ni tofauti. Ukipata matatizo ya kuwasha au
utekelezaji baada ya kutumia mafuta, badilisha mafuta
unayotumia kwa muuzaji mwingine au badilisha kampuni.
Injini hii imethibitishwa kutumia petroli. Mfumo wa udhibiti
wa utoaji moshi wa injini hii ni EM (Marekebisho ya Injini).
ONYO! Mafuta na mvuke wake vyote
vinaweza kuwaka moto na kulipuka na hivyo
basi kusababisha kuungua, moto au
milipuko inayoweza kusababisha kifo au majeraha mabaya.
Zima injini ya kioshaji cha presha na uiwache ipoe kwa
angalau dakika mbili kabla ya kutoa kifuniko cha mafuta.
Fungua kifuniko pole pole ili kutoa presha iliyo kwenye tenki.
Jaza tangi la mafuta ukiwa nje ya nyumba. USIJAZE tenki
kupita upeo yake. Wacha nafasi kwa ajili ya upanuzi wa
mafuta. Kama mafuta imemwagika, subiri hadi iwe mvuke
kabla ya kuanza injini. Weka mafuta mbali na cheche, moto
ulio wazi, taa ya kujaribia, joto, na vyanzo vingine vya moto.
Angalia mistari ya mafuta, tenki,kofia na sehemu za
kuunganisha mara nyingi kwa nyufa au mtiririko. Badilisha
kama inabidi. USIWASHE sigara au moshi.
1. Safisha eneo karibu na kifuniko cha mafuta, toa kifuniko.
2. Anza kuongeza mafuta yasiyo na madini polepole (A)
kwa tenki ya mafuta (B). Kuwa makini ili yasifurike.
Wacha nafasi ya kama sentimita 4 (inchi 5) (C) ya
tenki kwa ajili ya upanuzi wa mafuta.
3. Weka kifuniko ya mafuta na uwache mafuta yote
yaliomwagika yawe mvuke kabla uwashe injini.
Mwinuko wa Juu
Kwa miinuko zaidi ya mita 1524 (futi 5,000), Kima cha petroli
chini yaa 85 octane/85 AKI (89 RON) kinakubalika. Ili ufuate
sheria za kuzalisha uchafu, marekebisho ya mwinuko wa juu
unahitajika. Operesheni bila marekebisho haya yatasababisha
upungufu kwa utekelezaji, kuongezeka kwa matumizi ya mafuta,
na kuongezeka kwa uzalishaji wa uchafu. Angalia muuzaji wa
Briggs & Stratton aliyethibitishwa kwa maelezo zaidi kuhusu
marekebisho ya miinuko ya juu. Operesheni ya injini katika
sehemu za milimani zilizo chini ya mita 762 (2,500 ft.) pamoja na
mkoba wa sehemu za milima ya juu haipendekezwi.
6
6
8
Eneo la Kioshaji cha Presha
Sumu ya Kaboni Monoksidi
ONYO! Ekzosi ya injni huwa na monksidi ya kaboni,
gesi ya sumu inayoweza kukuua ndani ya dakika chache.
HUWEZI kuinusa, kuiona, au hata kuiramba. Hata kama
huwezi kunusia moshi unaotolewa, bado unaweza kukumbana na
gesi ya Carbon Monoxide. Tumia bidhaa hii NJE PEKEE mbali na
madirisha, milango na matundu ili kupunguza hatari ya gesi ya
kaboni monoksidi kukusanyika na uwezekano wa kuwa
inasambazwa kuelekea maeneo ya nje. Weka ving'ora vya
Carbon Monoxide vinavyoendeshwa betri au ving'ora vya Carbon
Monoxide vya kuchomekwa vilivyo na chelezo cha betri kulingana
na maelekezo ya mtengenezaji. Kamsa za moshi haziwezi
kugundua gesi ya kaboni monoksidi. USITUMIE bidhaa hii ndani
ya nyumba, gereji, sehemu ya nyumba iliyo chini ya ardhi, chumba
kidogo sana, vibanda, au nafasi zingine hata kama unatumia
vipepeo au milango zilizofunguliwa na madirisha za kuingizia
hewa. Kaboni monoksidi inaweza kujaa haraka katika nafasi hizi
na inaweza tuwama kwa masaa, hata baada ya bidhaa hii
imezimika. DAIMA weka bidhaa hii katika mwelekeo ambao
upepo unavuma na elekeza eksozikutoka nafasi zilizojazwa.
Ukianza kujisikia mgonjwa, kizunguzungu, au dhaifu wakati
unatumia bidhaa hii, tafuta hewa safi MARA MOJA. Mwone
daktari. Unaweza kuwa na sumu ya kaboni monoksidi.
Hatari ya Moto
ONYO! Joto/gesi zinazotolewa zinaweza kusababisha
kuwashwa kwa moto, vibanda au uharibifu wa tangi ya
mafuta na hivyo basi kusabaisha moto, na kuishia kuleta
vifo au majeraha mabaya. Ruhusu nafasi ya angalau mita 1.5 (futi 5)
katika pande zote za kioshaji cha pressure ikiwemo kioshaji cha juu.
Unganisha Bomba na usambazaji wa Maji
Kwenye Pampu
Takwimu
ILANI Kagua mpira wa maji ulio na shinikizo ya juu ili
kupata makato, mitiririko au uharibifu.
1. Vuta kwenye kola bomba yenye presha ya juu zaidi (V),
ingiza katika bunduki ya kunyunyizia (A) halafu wachilia
kola. Funga mpira huo wa maji na uhakikishe kwamba
uko salama.
2. Unganisha mwisho huo mwingine wa bomba (J)
kwenye pampu kish ukaze.
3. Kagua pahali pa kuingizia kabla ya kuunganisha
bomba la shamba kwa nafasi ya kuingizia maji (K).
Safisha skrini kama inayo chembechembe zozote au
uisawazishe kama imeharibika. USIENDESHE kioshaji
kwa presha kama skrini ya kuingiza maji imeharibika.
4. Hakikiasha kuwa chanzo cha maji kinauwezo wa
kusambaza maji kwa kiwango cha zaidi ya lita 14.38
(galoni 3.8) kwa dakika mija na 0.14-0.55 MPa (1.4-5.5
BAR au 20-80 PSI) katika mwisho wabomba la maji la
kioshaji cha presha.
5. Pitisha maji katika mpira wa maji ili kutoa uchafu.
ILANI Tumia maji baridi PEKEE (chini ya 38°C (100°F)).
ILANI Kutumia kizuizi cha mtiririko wa kuja nyuma katika
tundu la kuingiza maji la pampu inaweza kusababisha uharibifu
wa pampu. LAZIMA kuwe na angalau mita 3 (futi 10) ya mpira
wa maji ambao haujazuiliwa kati ya mashine inayoosha ikitumia
shinikizo pamoja na kizuizi cha mtiririko wa kuja nyuma.
ONYO! Maji ambayo imetiririka kupitia kizuizi cha
mtiririko wa maji kuja nyuma inachukuliwa kama
maji isiyo safi kwa kunywa.
6. Unganisha mpira wa maji (isizidi mita 15 (futi 50)) kwa
tundu la kuingizia maji na ukaze.
Takwimu
9
4
BRIGGSandSTRATTON.COM
BRIGGSandSTRATTON.COM

Werbung

Inhaltsverzeichnis
loading

Inhaltsverzeichnis