Herunterladen Inhalt Inhalt Diese Seite drucken

Briggs & Stratton 1150 Serie Original Bedienungsanleitung Seite 177

Inhaltsverzeichnis

Werbung

Verfügbare Sprachen
  • DE

Verfügbare Sprachen

  • DEUTSCH, seite 39
Utatuzi
Tatizo
Pampu inayo matatizo yafuatayo:
kushindwa kutoa presha, isiyokuwa na
hakika, inatoa sauti zisizo za kawaida,
kupoteza presha, kiwango kidogo cha
maji.
Wakati sabuni inashindwa
kuchanganyika kwenye mnyunyizo.
Injini inaendeshwa vizuri wakati
haijapakizwa lakini "inajikokota" wakati
inapopakizwa.
Injini haitawaka; inazima wakati wa
kuendeshwa au inaanza na inaguruma
vibaya.
Kwa masuala mengine yote, tazama Mwuzaji Aliyeidhinishwa wa Briggs & Stratton.
Maelezo Mahsusi
Presha ya Juu Zaidi ya Kutoa Maji . . . . . . . . . .23.4 MPa (234 BAR au 3,400 PSI)*
Kima cha Juu zaidi cha Mkondo wa Maji . . . . . . . . . . . . . . . lita 10.6/dak(2.8 GPM)
Halijoto ya Utoaji wa Maji. . . . . . . . . . . . .38ºC (100ºF) KIWANGO CHA JUU ZAIDI
Usawazishwaji. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .250 cc (15.19 cu. in.)
Nafasi ya Plagi ya Mwake . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 0.76 mm (0.030 in.)
Kiwango cha juu zaidi cha Mafuta. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . lita 2.8 (3.0 Qt.)
Kiwango cha Mafuta(oil) . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .lita 0.6 (Aunsi 20)
Presha ya Sauti @ 3 m . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 89 dBA §
Sehemu za Kukarabatiwa
Mkoba wa Ukarabati wa Pete-O . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 705002
Skrini ya Kuingiza Maji . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . B2384GS
Chupa ya Mafuta (oil) ya Injini . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 100005E
PumpSaver . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 6039
Viwango vya Umeme: Upimaji wa jumla wa umeme kwa modeli za injini za mafuta umewekwa lebo kulingana na SAE (Chama cha
Waandisi wa Magari) msimbo J1940 nguvu za umeme za injini ndogo & utaratibu wa upimaji wa Torque na umepimwa kulingana na
SAE J1995. Viwango vya Torque vinatokana na 2600 RPM kwa injini zile ambazo zina "rpm" na zilizo na lebo 3060 RPM kwa zile
nyingine; viwango vya nguvu dhabiti vinatokana na 3600 RPM. Viwango vya jumla ya nguvu ya umeme vinaweza kutazamwa katika
www.BRIGGSandSTRATTON.COM. Viwango kamilifu vya umeme vinachukuliwa kutokana na moshi unaotoka na kisafishaji cha
hewa kilichowekwa huku viwango vya jumla ya nguvu ya umeme vinakusanywa bila ya viambatisho hivi. Nguvu za jumla za injini halisi
zitakuwa juu zaidi kuliko nguvu za umeme kamilifu na zinaathiriwa na, miongoni mwa mambo mengine, hali bora za undeshaji na
utofauti wa injini-hadi injini. Tukitazama mseto mpana wa bidhaa ambazo injini zinatumika, injini ya mafuta (gasoline) huenda isiunde
na kufikia jumla ya nguvu za umeme wakati inapotumiwa katika kifaa fulani cha mtambo wa umeme. Utofauti unatokana na mseto wa
mambo yakiwemo, lakini si tu, mseto wa viungo vya injini (kisafishaji cha hewa, kitoaji moshi, kuchaji, kupoa, kabyureta, pampu ya
mafuta, nk), upungufu wa matumizi, hali bora za undeshwaji (halijoto, hali ya unyevunyevu, uwepo wa milima), na utofauti wa injini-hadi-
injini. Kutokana na upungufu wa utengenezaji, Briggs & Stratton inaweza kusawazisha injini iliyo na nguvu za juu zaidi kwa injini hii.
* Kioshaji kwa presha hiki kimepimwa kulingana na Chama cha Watengenezaji wa Vioshaji kwa Presha (PWMA) kiwango cha wastani
cha PW101-2010 (Utendakazi na Utahini wa Vioshaji kwa Presha).
§ Viwango bora vilivyopimwa kulingana na Tasmanian Taratibu za Usimamizi wa Kimazingira na Udhibiti wa Uchafuzi wa Hewa (Sauti
Mbalimbali).
Sababisha
1. Kuweka kwa ncha ya mnyunyizo yenye presha
ya chini.
2. Sehemu ya kuingiza maji iliyozibwa.
3. Kiwango cha maji kisichotosha.
4. Sehemu ya kuingizia maji kwenye mpira wa maji
ina tatizo au inavuja.
5. Sehemu ya kuingizia maji kwenye skrini ya
mpira wa maji imezibwa.
6. Chanzo cha maji kiko juu zaidi ya 38°C (100°F).
7. Mpira wa maji wenye presha ya juu umezibwa
au unavuja.
8. Sehemu ya mbele ya mnyunyizo inavuja.
9. Ncha ya mnyunyizio imezuiliwa.
1. Neva ya kufyonza sabuni haijaingizwa kwenye
maji.
2. Neva ya kufyonza sabuni imezibwa au inao ufa.
3. Ncha ya mnyunyizo yenye presha ya juu
imewekwa.
4. Kagua mpira uliokwama kwenye mpira wa
kufyonza sabuni.
Kasi ya injini ni ya polepole zaidi.
1. Kiwango cha chini cha mafuta(oil).
2. Haina mafuta (fuel).
3. Waya wa plagi wa mwake haujaunganishwa
kwenye plagi ya mwake.
4. Imefurika.
Sahihisha
1. Sawazisha ncha ya mnyunyizo ya presha ya
juu.
2. Shughulikia sehemu ya kuingizia maji.
3. Toa mkondo unaotosha wa maji.
4. Shughulikia sehemu ya kuingizia ya mpira wa
maji, ziba sehemu inayovuja.
5. Kagua na usafishe skrini ya mpira wa maji ya
kuingizia maji.
6. Toa chanzo cha maji cha kupoza.
7. Ondoa sehemu zilizoziba kwenye sehemu
ya kutolea maji kwenye mpira wa maji,
sawazisha sehemu hiyo endapo inavuja.
8. Sawazisha sehemu ya mbele ya mnyunyizo.
9. Safisha ncha ya mnyunyizo.
1. Chomeka neva ya kufyonza sabuni kwenye
sabuni.
2. Safisha au sawazisha neva ya kufyonza
sabuni.
3. Sawazisha na ncha nyeusi ya mnyunyizo.
4. Kagua mpira wa ufyonzaji wa sabuni.
Songeza kidhibiti cha throto hadi katika mkao wa
(
)HARAKA.
1. Jaza crankcase hadi katika kiwango
kinachostahili.
2. Jaza tangi ya mafuta.
3. Unganisha waya kwenye plagi ya mwake.
4. Subiri dakika 5 na uweze kuiwasha upya
injini.
9 9

Quicklinks ausblenden:

Werbung

Inhaltsverzeichnis
loading

Diese Anleitung auch für:

Elite 3400Bpw3400020595-02

Inhaltsverzeichnis