Herunterladen Inhalt Inhalt Diese Seite drucken

Briggs & Stratton 1150 Serie Original Bedienungsanleitung Seite 172

Inhaltsverzeichnis

Werbung

Verfügbare Sprachen
  • DE

Verfügbare Sprachen

  • DEUTSCH, seite 39
Yaliyomo
Ufafanuzi wa Mitambo . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Mkusanyiko . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Vipengele na Vidhibiti. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Ishara ya Usalama na Udhibiti. . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Operesheni . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Ukarabati . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 8
Hifadhi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 8
Utatuzi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 9
Virejelewa . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 9
Udhamini . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 10
Ufafanuzi wa Mitambo
Soma kabrasha hili kwa umakinifu na uzoeane na
kioshaji kwa presha. Jua matumizi yake, upungufu
wake, na hatari zozozte zinazohusika. Hifadhi
maelekezo haya asilia kwa marejeleo ya siku zijazo.
Kioshaji kwa presha hiki kinafanya kazi katika kiwango cha juu
cha 23.4 MPa (234 BAR au 3,400 PSI) na kima cha mtiririrko cha
kufikia lita 10.6 (galani 2.8) kwa dakika. Mfumo huu wa ubora wa
juu wa makazi unayo magurudumu ya sentimita 25.4 (10") , na
pampu ya jira ya cam iliyo na pistoni za chuma cha pua, mfumo
otomatiki wa kupoza, mfumo wa kivuta kitakasaji, vidokezo chapu
za kuunganisha mnyunyizo, mpira wa maji mzito upatao mita 9.1
m (30'), na zaidi.
Mashine haya hayajaundwa ili kutumiwa na watu (wakiwemo
watoto) walio na uwezo pungufu wa kimwili, kihisia au kiakili, au
wanao ukosefu wa uzoefu na maarifa.
Kila jitihada imefanywa ili kuhakikisha kwamba taarifa katika
kabrasha ili ni sahihi na ya hivi punde zaidi. Hata hivyo, tunahifadhi
haki ya kubadilisha, kurekebisha, au vinginevyo kuboresha bidhaa
hii na waraka huu wakati wowote bila arifa ya mapema.
ARIFA Kama unayo maswali kuhusu matumizi yaliyonuiwa,
mwulize mwuzaji au wasiliana na kituo cha huduma kinachofaa.
USIWAHI kutumia mashine haya yakiwa na sehemu zilizovunjika
au zinazokosekana, au bila ya sehemu yake inayoyafunika
au vifuniko. USIPUUZE kifaa chochote cha usalama katika
mashine haya. USIBADILISHE kioshaji kwa presha kwa njia
yoyote ile. Mtambo huu umeundwa kutumiwa pamoja na vipuri
vilivyoidhinishwa kutoka kwa Briggs & Stratton PEKEE.
Uchukuzi
Wakati unaposafirisha mitambo kwa gari au trela, hakikisha kuwa
tangi la mafuta ni TUPU au zima valvu ya mafuta, kama unao
uwezo, hadi kwenye sehemu hiyo ya ZIMWA (0). USIWEKE injini
au mitambo katika hali ambayo itasababisha mafuta kumwagika.
Uunganishwaji
Ambatisha Kishikio na Trei ya Nyongeza
Mchoro
1
2
3
4
1. Weka kishikio (1, A) kwenye visaidizi (1, B) na ulinganishe
mashimo (1, C).
2. Chomeka komeo zinazohusika (2, A) kwenye mashimo
yaliyo sehemu ya nyuma ya kifaa chenyewe, ambatisha na
kishikio cha plastiki (2, B) na ukaze.
3. Weka trei ya nyongeza (3, A) juu ya mashimo (3, B) kwenye
kishikio na usukume klipu husika (3, C) hadi kwenye
mashimo.
4. Chomeka nyaya shikilizi za kifaa cha kutoa mnyunyizo (4,
A) kupitia kwenye shimo upande wa kushoto wa kishikio,
ambatisha kwenye kishikio cha plastiki (4, B) na ukaze.
4
4
Vipengele na Vidhibiti Mchoro
Sehemu ya mbele ya
A
Mnyunyizo
B
Trei ya Nyongeza
C
Mpira wa Maji wa Presha
ya Juu
D
Kirefusho cha Pua kilicho
na Unganisho la Haraka
E
Leva ya Kusakama
Kichujio cha Hewa
F
G
Pampu
H
Mfumo Otomatiki wa
Kupoza
J
Sehemu ya Kutolea
Presha ya Juu
K
Sehemu ya Kuingizia Maji W
Ishara ya Usalama na Udhibiti
Ishara ya usalama wa onyo inaonyesha hatari ya jeraha la kibinafsi
inayoweza kufanyika. Ishara ya usalama inaweza kutumiwa ili
kuwakilisha aina ya hatari. ONYO inaonyesha hatari ambayo, kama
haitaepukwa, inaweza kusababisha kifo au jeraha mbaya. ARIFA
huangazia mazoea yasiyohusiana na jeraha la kibinafsi.
Ishara ya Tahadhari
ya Usalama
Mishtuko ya
Kuanguka
Kielektriki
Moto
Mlipuko
Sehemu Songevu
Vitu Vinavyoruka
Sakama
Endesha
Mafuta
Mafuta
Hayaingii
Yanaingia
Sehemu ya Onyo Mchoro 6
Sehemu ya onyo inawekwa kwenye mtambo wako ili
kukufahamisha kuhusu hatari za usalama zinazoweza kufanyika.
Kama sehemu hiyo itaharibiwa au kukosa kusomeka, isawazishe
kwa kuwasiliana na mwuzaji wako wa bidhaa za Briggs & Stratton
aliye karibu nawe ili kupata nyingine mpya.
Neva ya Kufyonza Sabuni
L
M
Kuvuja kwa Mafuta(oil)
N
Kujaza Mafuta(oil)
P
Lebo ya Utambulisho
R
Kiwashi cha Waya
Leva ya Throto
S
T
Valvu ya Mafuta
U
Tangi la Mafuta
V
Sehemu ya Onyo
Vidokezo vya Mnyunyizo
Kabrasha la
Moshi wenye
Maelekezo
Sumu
Kuingiza kwa
Sehemu Moto
Mafuta
Kurudi nyuma
Kuungua kwa
Kemikali
Sitisha
Polepole
!
Kagua Kiwango
Usiwashe
cha Mafuta
Injini
BRIGGSandSTRATTON.COM
BRIGGSandSTRATTON.COM
5
Kurushwa
Haraka

Quicklinks ausblenden:

Werbung

Inhaltsverzeichnis
loading

Diese Anleitung auch für:

Elite 3400Bpw3400020595-02

Inhaltsverzeichnis