Herunterladen Inhalt Inhalt Diese Seite drucken

Briggs & Stratton 1150 Serie Original Bedienungsanleitung Seite 174

Inhaltsverzeichnis

Werbung

Verfügbare Sprachen
  • DE

Verfügbare Sprachen

  • DEUTSCH, seite 39
Unganisha Mpira wa Maji na Chanjo cha Maji
kwenye Pampu
Mchoro
ARIFA Kagua mpira wa maji wenye presha ya juu na kuangalia
kama umekatika, unavuja au umeharibika.
1. Vuta nyuma kwenye sehemu ya pembeni ya mpira wa maji
wa presha ya juu (C), uingize kwenye sehemu ya kutoa
mnyunyizo (A) na uachilie sehemu ile ya pembeni. Funga
mpira huo wa maji na uhakikishe kwamba uko salama.
2. Ambatisha sehemu ile nyingine ya mpira wa maji kwenye
sehemu ya kutolea maji (J) kwenye pampu na uikaze.
3. Kagua skrini ile ya kuingiza maji kabla ya kuunganisha ule
mpira wa maji wa bustanini kwenye sehemu ya kuingizia
maji (K). Safisha skrini kama inayo chembechembe zozote
au uisawazishe kama imeharibika. USIENDESHE kioshaji
kwa presha kama skrini ya kuingiza maji imeharibika.
4. Hakikisha kwamba chanzo cha maji kinaweza kutoa maji
katika kima cha mkondo wa maji kinachozidi lita 14.38 (galani
3.8) kwa dakika na vilevile kutopugua kima cha 0.14-0.55
MPa (1.4-5.5 BAR au 20-80 PSI) kwenye mwisho wa kioshaji
kwa presha kule katika mpira wa maji wa bustanini.
5. Pitisha maji kwenye mpira wa maji wa bustanini ili kusafisha
chembechembe hizo.
ARIFA Tumia maji baridi TU (chini ya 38°C (100°F)).
ARIFA Kutumia kizuilizi cha maji kurudi nyuma katika pampu
ya kuingiza maji kunaweza kusababisha uharibifu wa pampu
LAZIMA kuwepo na angaa mita 3 (10 ft.) ya mpira wa maji wa
bustanini usiozuiliwa kati ya sehemu ya kuingizia maji ya kioshaji
kwa presha na kizuiliaji cha maji katika kurudi nyuma.
ONYO Maji ambayo yametiririka kupitia katika kizuiliaji cha
maji kurudi nyuma yanachukuliwa kuwa yanaweza kutumika lakini
si kunyweka.
6. Unganisha mpira wa maji wa bustanini (usizidi mita 15
(50 ft.)) kwenye sehemu ya kuingizia maji na uukaze.
7. WASHA maji, bonyenza kitufe chekundu kwenye sehemu ya
kushikilia, na ufinye triga ili kufyonza hewa klutoka kwenye
mfumo. Sawazisha kishikio kama triga haifungi.
8. Ambatisha kirefusho cha pua (D) kwenye sehemu ya mbele
ya mtambo (A) na uikaze.
9. Vuta nyuma kwenye sehemu ya pembeni ya kirefusho cha
pua, chomeka ncha ya mnyunyizo na uachilie (W). Funga
kwenye ncha ya mnyunyizio ili kuhakikisha kwamba ipo
mahali pake vizuri.
Washa Kioshaji kwa Presha Mchoro
ARIFA USIENDESHE pampu bila ya kuunganisha maji
na
kuiwasha.
1. Zungusha valvu ya kuzima mafuta na () UIWASHE (
katika nafasi hiyo (kuanzia kulia hadi kushoto kikamilifu).
2. Songesha leva ya kudhibiti throto (S) hadi katika mkao (
wa HARAKA, unaonyeshwa kwenye injini kama sungura.
3. Songesha leva ya kusakama (E) hadi katika mkao wa (
KUSAKAMA.
ARIFA Kwa injini yenye joto, hakikisha kwamba leva ya
kusakama iko kwenye mkoa wa (
ONYO! Kiwashi na sehemu nyingine zinazozunguka
zinaweza kujiingiza kwenye mikono, nywele, mavazi, au
nyongeza nyingine na kusababisha majeraha mabaya.
USIWAHI kuendesha kioshaji kwa presha bila ya sehemu za
kukifunika au vifuniko. USIVALIE mavazi yaliyolegea, johari au
kitu chochote kilicholegea kinachoweza kukamatwa kwenye
kiwashi au sehemu nyingine zinazozunguka. Funga nywele ndefu
na uondoe johari.
6
6
5
5
)
)
) KUENDESHA.
ARIFA Kabla ya kuwasha kioshaji kwa presha, hakikisha
kwamba unavalia miwani ya usalama na mavazi ya ukukinga.
ONYO! Mnyunyizo unaweza kukurukia au
kuzungusha vitu na hivyo basi kusababisha
majeraha mabaya. Siku zote valia miwani ya
usalama inayopitisha hewa kwa njia fulani ( mruko wa kikemikali)
iliyowekwa alama ili kukubaliana na ANSI Z87.1 wakati
unapotumia au unapokuwa karibu na mtambo huu. Siku zote valia
mavazi ya ukukinga kama vile shati lenye mikono-mirefu, suruali
ndefu na viatu vinavyofunika vidole vyako vya miguu.
7. Wakati unapowasha injini, shikilia kishikio husika na ukivute
polepole mpaka pale ambapo utakapohisi upinzani fulani.
Kisha vuta kwa haraka ili kuwasha injini.
ONYO! Kamba ya kuvuta kwa haraka ili kuwasha (uvutaji
wa haraka) itaweza kuuvuta mkono na sehemu yake
kuelekea kwenye injini kwa haraka zaidi kuliko vile
unavyoweza kuachilia na kuweza kusababisha mifupa iliyovunjika,
iliyoachana, majeraha, au kushtuka kwa viungo vya mwili na
kusababisha majeraha mabaya. USIWAHI kuivuta kamba ya
kuwasha mtambo bila ya kuanza kuwachilia presha ya sehemu ya
mbele ya mnyunyizo iliyo na presha. Wakati unapowasha injini,
vuta kamba polepole mpaka pale ambapo utaweza kuhisi upinzani
na kisha uvute kwa haraka ili kuepuka kukataa kuwashwa kwa
mtambo. Shikilia kwa nguvu sehemu ile ya mbele ya mnyunyizo
kwa mikono yote miwili wakati unapotumia mnyunyizo wa presha
ya juu ili kuepuka jeraha wakati ambapo sehemu ya mbele ya
mnyunyizo itakaporuka nyuma.
8. Rudisha kishikio husika polepole. USIACHE kamba "kurudi
nyuma" dhidi ya kiwashi.
9. Baada ya kila jaribio la kuwasha, pale ambapo injini
itashindwa kuendeshwa, elekeza sehemu ya mbele katika
sehemu salama, bonyeza kitufe chekundu na ufinyikize triga
ili kuwachilia presha ya juu.
10. Wakati injini itawashwa, songesha polepole leva ya
kusakama hadi katika mkao wa (
injini inapopata moto. Kama injini itafifia, songesha leva ya
kusakama hadi katika mkao wa (
kwenye mkao wa (
ARIFA Siku zote hakikisha leva ya throto iko kwenye mkao wa
(
) HARAKA wakati unapoendesha kioshaji kwa presha.
ONYO! Mtiririko wa maji ulio na presha ya juu ambao
unatolewa na mtambo huu unaweza kupenyeza kupitia
kwenye ngozi na tishu zilizo chini yake na hivyo basi
kusababisha jeraha mbaya na hata uwezekano wa kukatwa
mkono. Kama utakatwa na maji haya, mpigie simu daktari mara
moja. USICHUKULIE kama kukatwa kwa kawaida. USIRUHUSU
WATOTO kuendesha kioshaji kwa presha hiki. USIWAHI
kuelekeza sehemu ya mbele ya mnyunyizo kwa watu, wanyama
au mimea. USIWACHE sehemu hii ya mbele ya mnyunyizo katika
mkao ulio wazi. USIWACHE sehemu hii ya mbele ya mnyunyizo
bila kushughulikiwa wakati mashine yanaendeshwa. USIWAHI
kutumia sehemu hii ya mbele ya mnyunyizo isiyokuwa na uwezo
wa kufunga triga au kulinda triga katika hali ya kufanya kazi.
)
USIWAHI kuunganisha mpira wa maji wa presha ya juu kwenye
kirefusho cha pua ya mtambo huu.
ONYO! Kutagusana na eneo hili la mafla kunaweza
kusababisha kuungua na hivyo basi kusababisha majeraha
mabaya. USIGUZE sehemu moto na EPUKA gesi moto
zinazotolewa. Ruhusu mitambo kupoa kabla ya kuigusa.
ONYO! Mtagusano na chanzo cha nguvu za umeme
kunaweza kusababisha mshtuko wa kielektriki au kuungua
kunakoweza kusababisha kifo au jeraha mbaya. USIWAHI
kunyunyiza karibu na chanzo cha umeme.
Ncha za Mnyunyizo Mchoro
Ncha za mnyunyizo zinaweza kubadilishwa wakati kioshaji wa
presha kinaendeshwa pindi tu triga ya sehemu ya mbele ya
mnyunyizo inapofungwa.
) KUENDESHA, wakati
) KUSAKAMA kisha
) KUENDESHA.
11
BRIGGSandSTRATTON.COM
BRIGGSandSTRATTON.COM

Quicklinks ausblenden:

Werbung

Inhaltsverzeichnis
loading

Diese Anleitung auch für:

Elite 3400Bpw3400020595-02

Inhaltsverzeichnis