Herunterladen Diese Seite drucken

Maelezo Ya Vifaa; Kuunganisha; Vipengele Na Vielekezi; Operesheni - Briggs & Stratton BPW2500 Bedienungsanleitung

Vorschau ausblenden Andere Handbücher für BPW2500:

Werbung

Maelezo ya Vifaa

Soma mwongozo huu kwa makini na uelewe
kuitumia mashine inayotumia shinikizo kuosha. Jua
matumizi yake, mapungufu yake, na hatari zozote
zinazohusika. Hifadhi maelekezo haya ya kiasili kwa ajili ya
kumbukumbu za baadaye.
Mashine hii inayotumia shinikizo kuosha ina upeo wa 17.2 MPa
(2,500 PSI or 172 BAR) na mtiririko wa lita 8.7 (galoni 2.3) kwa
dakika. Mfumo huu wa kutumika nyumbani na ulio na ubora
wa hali ya juu una vipengele kama magurudumu ya sentimita
25.4 (inchi 10), pampu ya kihimili iliyo mchi wa mashine, mfumo
otomatiki wa kujipoesha, mfumo wa kumwaga sabuni, vidokezo
vya kuunganisha mfukizo haraka, mpira mzito wa maji ulio na
mita 9.1 (inchi 30) , na zaidi.
ILANI Kama una maswali kuhusu matumizi, uliza mtu anayeuza
ama kituo cha huduma kilichohitimu. USIWAHI tumia vitengo
vilivyo na sehemu zilizovunjika au na vifaa vilivyokosa, au bila
vifaa vya kukinga. USILENGE kifaa chochote cha usalama katika
mashine hii. USIBADILISHE mashine inayoosha na shinikizo kwa
njia yoyote. Vifaa hivi viliundwa kutumiwa na bidhaa za nguvu na
zilizoidhinishwa za Briggs & Stratton PEKEE
Jinsi ya Kuunganisha
Shikanisha Mpini na Sahani ya Kuwekelea
Vifaa vya Ziada
Kielelezo
1. Weka mpini (1, A) kwenye nguzo (1, B)na lainisha mashimo
(1, C).
2. Ingiza komeo za gari (2, A) kupitia mashimo ndani ya
kitengo, shikanisha na mpira wa plastiki (2, B) na ukaze.
3. Weka sahani ya vifaa vya ziada (3, A) juu ya mashimo (3,
B) zilizo kwa mpini na usukume komeo za mti (3, C) kwenye
mashimo.

Vipengele na Vielekezi

A
Bunduki ya kufukiza
B
Ugani wa bomba na
Kuunganisha Haraka
C
Sahani ya vifaa ziada
D
Tenki ya Mafuta
E
Lebo ya Kuonya
F
Wenzo ya Transfoma Ndogo
ya Gari
G
Kichujio cha kuchuja hewa
H
Tundu la Kuingiza Maji

Operesheni

Mapendekezo ya Mafuta Kielelezo 6
Tunapendekeza matumizi ya mafuta ya Briggs & Stratton yaliyo
na Udhamini Uliothibitishwa kwa ajili ya utendaji bora. Sabuni
zilizo na mafuta za aina nyingine ya ubora wa juu zinakubaliwa
kama zimewekwa kwa makundi ya huduma SF, SG, SH, SJ au
zaidi. USITUMIE nyongeza maalum.
Joto ya nje huamua mnato sahihi wa mafuta unaotumika kwa
injini. Tumia chati kuchagua mnato bora kwa ajili ya joto ya nje
inayotarajiwa.
* Chini ya 4°C (40°F) matumizi ya SAE 30 itasababisha ugumu
wakati wa kuwasha.
** Zaidi ya 27°C (80°F) matumizi ya 10W30 yanaweza kusababisha
kuongezeka kwa matumizi ya mafuta. Angalia Kiwango cha
mafuta mara nyingi zaidi.
1 2 3
Kielelezo
4
J
Pampu
K
Mbinu ya Kujipoesha
L
Tubu ya kutoa sabuni kwa
bomba
M
Kujaza Mafuta
N
Kifaa cha kuanzisha nywea
P
Mpira wa Maji Ulio na
Shinikizo ya Juu
R
Ncha ya Kufukiza
Kuangalia/Kuongeza Mafuta ya Injini Kielelezo 4 7
Kiwango cha mafuta lazima ichunguzwe kabla ya matumizi au
angalau kila baada ya masaa nane ya operesheni. Dumisha
kiwango cha mafuta.
1. Hakikisha mashine inayoosha na shinikizo iko kiwango laini.
2. Osha eneo karibu na shimo la kujazia mafuta (4,M) na
uondoe kifuniko cha shimo ya kujazia mafuta/kijiti ya kupimia.
3. Hakikisha mafuta iko kiwango cha juu kabisa (shimo ya juu)
(7,A) kwa kijiti ya kupimia.
4. Kama inahitajika, mwaga mafuta polepole katika tundu la
kujazia mafuta hadi alama ya juu (shimo ya juu) kwa kijiti
cha kupimia. USIPITISHA kiwango kinachofaa.
5. Badilisha na ukaze kifuniko ya shimo ya kujazia mafuta/kujiti
ya kupimia.
ILANI USIJARIBU kuzungusha au kuwasha injini kabla ijahudumiwa
vizuri na mafuta yaliyopendekezwa. Hii inaweza kuharibu injini.
TAHADHARI Epuka mgusano wa ngozi na mafuta ya gari
yaliyotumika kwa muda mrefu au mara kwa mara. Mafuta ya gari
iliyotumika imeonekana kusababisha saratani ya ngozi katika
baadhi ya wanyama wa maabara. Safisha kwa kina maeneo
yaliyo na jeraha au wazi kwa sabuni na maji.
WEKA MBALI KUTOKA KWA WATOTO. USICHAFUE.
LINDA RASILIMALI. RUDISHA MAFUTA YALIYOTUMIKA
KWA VITUO VYA KUKUSANYA.
Ongeza Mafuta
Kielelezo
Mafuta lazima yakidhi mahitaji haya:
• Petroli iliyo safi, mbichi na isiyo na madini.
• Kima cha chini cha 87 octane/87 AKI (91 RON). Kwa
mwinuko wa juu, angalia Mwinuko wa Juu.
• Petroli iliyo na hadi asilimia kumi ya ethanoli (gasohol)
inakubalika.
ILANI Matumizi ya mafuta ambayo haijaidhinishwa inaweza kuharibu
mashine inayoosha na shinikizo na inafuta udhamini. USITUMIE petroli
ambayo haijaidhinishwa kama vile E15 na E85. USICHANGANE
mafuta katika petroli au urekebisha injini itumie mafuta tofauti.
Ili kulinda mfumo wa mafuta usigande, changanya katika kiimarishaji
cha mafuta wakati unaongeza mafuta. Angalia Hifadhi. Mafuta yote
si sawa. Ukipata matatizo ya kuwasha au utekelezaji baada ya
kutumia mafuta, badilisha mafuta unayotumia kwa muuzaji mwingine
au badilisha kampuni. Injini hii imethibitishwa kutumia petroli. Mfumo
wa kutoa uchafu kwa injini hii ni EM (Engine Modifications).
ONYO! Mafuta na mivuke yake yanaweza kuwaka
na kulipuka hivyo yanaweza kuchoma, washa moto
au mlipuko na kusababisha kifo au majeraha
makubwa. Zima injini ya mashine inayoosha na shinikizo na uache ipoe
angalau dakika mbili kabla ya kuondoa kifuniko cha mafuta. Legeza
kifuniko polepole ili kupunguza shinikizo katika tenki. Jaza tenki ya
mafuta nje. USIJAZE tenki kupita upeo yake. Wacha nafasi kwa ajili ya
upanuzi wa mafuta. Kama mafuta imemwagika, subiri hadi iwe mvuke
kabla ya kuanza injini. Weka mafuta mbali na cheche, moto ulio wazi,
taa ya kujaribia, joto, na vyanzo vingine vya moto. Angalia mistari ya
mafuta, tenki,kofia na sehemu za kuunganisha mara nyingi kwa nyufa
au mtiririko. Badilisha kama inabidi. USIWASHE sigara au moshi.
1. Safisha eneo karibu na kifuniko cha mafuta, toa kifuniko.
2. Anza kuongeza mafuta yasiyo na madini polepole (A) kwa
tenki ya mafuta (B). Kuwa makini usijaze kupitisha kiwango
kinachofaa. Wacha nafasi ya kama sentimita 4 cm (inchi 5)
(C) ya tenki kwa ajili ya upanuzi wa mafuta.
3. Weka kifuniko ya mafuta na uwache mafuta yote
yaliomwagika yawe mvuke kabla uwashe injini.
Kusafirisha
Wakati unasafirisha vifaa na gari au trela, MWAGA mafuta kutoka
kwa tenki au zima valvu ya mafuta, kama unayo, iwe katika
nafasi ya OFF (0). USIWEKE injini au vifaa katika pembe ambayo
inaweza kusababisha mafuta kumwagika.
8
5 5

Werbung

loading

Diese Anleitung auch für:

020633-00