Herunterladen Diese Seite drucken

Briggs & Stratton 020622-00 Bedienungsanleitung Seite 184

Werbung

Verfügbare Sprachen
  • DE

Verfügbare Sprachen

  • DEUTSCH, seite 38
Briggs & Stratton inakubali, katika kipindi cha udhamini ulioelezwa hapa, itakarabati au badilisha, bila ya malipo, sehemu yoyote ilio na shida katika vifaa au operesheni au
zote. Bei ya kusafirisha bidhaa zilizotumwa ili zikarabatiwe au zibadilishwe kwa mujibu wa udhamini huu ni lazima mwenyewe agharamie. Udhamini huu una madhubuti na
iko halali kwa muda na masharti yaliyosemwa hapo chini. Kwa huduma ya udhamini, tafuta muuzaji aliyethibitishwa karibu na wewe katika ramani iliyo kwenye tovuti yetu
ya BRIGGSandSTRATTON.COM. Mnunuzi lazima awasiliane na Mwuzaji wa Huduma Aliyeidhinishwa, na kumpelekea mwuzaji huyo wa Huduma Aliyeidhinishwa kwa
ukaguzi na upimaji.
Hakuna udhamini ingine ya haraka. Udhamini ulioashiriwa, pamoja na zile za uuzaji na uzima fulani kwa lengo fulani, zina upungufu wa muda uliosemwa
hapo chini, au kwa kiasi kilichoruhusiwa na sheria. Wajibu kwa uharibifu ulioletwa na shughuli au matokeo ya matumizi zimetengwa kwa kiasi zinaruhusiwa
na sheria. Baadhi ya majimbo au nchi haziruhusu upungufu unaoamua udhamini ulioashiriwa unakuwa halali kwa muda gani, na baadhi ya majimbo au nchi haziruhusu
ukwepaji au uzuiaji wa uharibifu ulioletwa na shughuli au matokeo ya matumizi, kwa hivyo uzuiaji na ukwepaji unaweza kuwa hauko halali kwako. Udhamini huu unakupa
haki maalum za kisheria na unaweza pia kuwa na haki nyingine ambayo inatofautiana kutoka jimbo moja hadi nyingine au nchi moja hadi nyingine.**
** Katika Australia - Bidhaa zetu zinakuja na dhamana ambayo haiwezi kulengwa katika Sheria ya Watumizi wa Australia. Unastahiki kubadilishiwa au kurudishiwa pesa
kwa kasoro kubwa na fidia kwa hasara au uharbifu wowote wa kweli utakaojitokeza mbeleni. Una haki pia ya kutengenezewa au kubadilishiwa kama bidhaa haziko na
ubora unaokubalika na uharibifu hauleti hasara kubwa. Kwa huduma ya udhamini, tafuta muuzaji aliyethibitishwa na aliyekaribu na wewe katika ramani yetu kwa tovuti ya
BRIGGSandSTRATTON.COM, au piga simu 1300 274 447, au kwa barua pepe au barua kwa salesenquiries@briggsandstratton.com.au, Briggs & Stratton Australia Pty
Ltd, 1 Moorebank Avenue, NSW, Australia, 2170.
Kipindi cha udhamini huanza tarehe ya ununuzi ya duka la kwanza au biashara la kwanza. "Matumizi ya kibinafsi" inamaanisha matumizi ya nyumbani na mnunuzi wa
rejareja. "Matumizi ya kibiashara" inamaanisha matumizi mengine yote, pamoja na matumizi ya kibiashara, ya kuzalisha mapato au kwa madhumunia ya kukodisha. Pindi
tu bidhaa imepitia matumizi ya biashara, itaweza kuchukuliwa kuwa bidhaa ya matumizi ya kibiashara kwa makusudio ya udhamini huu.
Ili kuhakikisha kujumuishwa kwa haraka na kamilifu kwa udhamini huu, sajili bidhaa yako katika tovuti iliyotajwa hapo juu au katika www.onlineproductregistration.com, au
tuma kwenye baruapepe kadi iliyo kamilifu ya usajili (kama umepewa), au piga simu nambari 1-800-743-4115 (Nchini MAREKANI).
Hifadhi vyema ithibati yako ya risiti ya ununuzi. Ikiwa hutatoa ushahidi wa tarehe ya awali ya ununuzi katika wakati ambao huduma ya dhamana imetakiwa, tarehe ya
utengezaji wa bidhaa hio itatumika kuamua kipindi cha dhamana. Usajili wa bidhaa hauitajiki katika kupokea huduma ya udhamini kwenye bidhaa za Briggs & Stratton.
Huduma ya Udhamini inapatikana tu kwa wauzaji waliothibitishwa wa Briggs & Stratton. Marekebisho ya udhamini hufanywa mara kwa mara, lakini wakati mwingine maombi
ya huduma ya udhamini yanaweza kuwa si sahihi. Udhamini huu unashughulikia kasoro tu katika vifaa au kazi. Haujumuishi hasara iliyosababishwa na matumizi yasiyofaa au
mabaya, ukarabati mbaya au urekebishaji, uchakaaji wa kawaida na uchanikaji, au kuchacha au mafuta yasiyothibitishwa .
Matumizi Mabaya na Dhuluma - Matumizi sahihi ya bidhaa hii yameelezwa katika Mwongozo wa fundi. Kutumia bidhaa katika njia ambayo haikuelezwa katika Mwongozo wa
Mwendeshaji au kutumia bidhaa baada ya kuwa imeharibika hakuta jumuishwa chini ya dhamana hii. Bima ya dhamana pia haitatolewa ikiwa nambari ya mfululizo katika bidhaa
imeondolewa au bidhaa hio imevunjwa au kubadilishwa kwa njia yoyote, au ikiwa bidhaa hio ina dalili ya matumizi mabaya kama vile uharibifu wa athari ya hasara ya uharibifu wa
maji/kemikali.
Ukarabati au Urekebishaji Mbaya- Bidhaa hii lazima ikarabatiwe kwa mujibu wa taratibu na ratiba zinazotolewa katika mwongozo wa fundi, na kuhudumiwa au kurekebishwa
kwa kutumia sehemu halisi za Briggs & Stratton. Uharibifu unaosababishwa na ukosefu wa ukarabati au matumizi ya sehemu zisizo halisi haijazingatiwa katika udhamini huu.
Uchakavu wa Kawaida - Kama mitambo nyingi, bidhaa yako itakuwa na uchakavu hata kama inakarabatiwa kwa sahihi. Dhamana hii haidhamini urekebishaji wakati wa
matumizi ya kawaida yamezeesha kabisa muda wa kiungo au vifaa. Ukarabati na vipengele vya kuchakaa kama vile vichujio, mikanda, mabapa ya kukatia, na pedi za breki
(ispokuwa pedi za breki ya injini) havidhaminiwi na dhamana kutokana na tabia yake ya kuchakaa vyenyewe, ispokuwa chanzo kikisababishwa na dosari katika nyenzo au ustadi.
Mafuta Yaliyooza au Hayadhibitishwa- Ili bidhaa hii ifanye kazi ipasavyo, inahitaji mafuta safi inayoendanisha na vigezo vilivoelezwa katika Mwongozo wa Fundi. Uharibifu wa
Injini au vifaa uliosababishwa na mafuta yaliyochacha au matumizi ya mafuta yasiyothibitishwa (kama vile mchanganyiko wa ethanol za E15 au E85) haudhaminiwi na dhamana.
Zilizotengwa - Udhamini huu hauzingatii uharibifu kutokana na ajali, unyanyasaji, marekebisho, mabadiliko, huduma mbaya, kugandisha au kuzorota kutokana na kemikali.
Viambatanishi au vifuasi ambavyo havikuchuliwa kwa asili na bidhaa hio pia vimetolewa. Hakuna udhamini kwa vifaa vinavyotumika kwa nguvu ya msingi badala ya nguvu ya
kutumika au juu ya vifaa vya kutumika kuokoa maisha. Udhamini huu hauzingatii injini au vifaa vilivyotumika, badilishwa muundo, mitumba, au za kujaribia. Dhamana hii pia
haijumuishi ushindwaji unaotokana na nguvu za Mungu na nguvu nyingine matukio makubwa kinyume na udhibiti wa mtengenezaji.
10
SERA YA UDHAMINI WA BIDHAA ZA BRIGGS & STRATTON
UDHAMINI PUNGUFU
KIPINDI CHA UDHAMINI
Matumizi ya Kibinafsi
Miezi 12
KUHUSU UDHAMINI WAKO
Matumizi ya Kibiashara
Hamna
Januari 2014
80010169_SW Durusiwa -
BRIGGSandSTRATTON.COM

Werbung

loading

Diese Anleitung auch für:

020672-00