Herunterladen Diese Seite drucken

Briggs & Stratton 020622-00 Bedienungsanleitung Seite 182

Werbung

Verfügbare Sprachen
  • DE

Verfügbare Sprachen

  • DEUTSCH, seite 38
Utatuzi
Tatizo
Pampu ina shida zifuatazo:
Kushindwa kuzalisha
shinikizo, shinikizo zisizokuwa
na uhakika, kelele nyingi,
kupoteza shinikizo, kiwango
cha maji kilicho chini.
Kifaa hakiwaki wakati kifyatuzi
cha mtutu wa kunyunyizia
kinafinywa.
Sabuni haikuchanganyika na
mnyunyizio.
Miunganisha ya mpira inavuja.
Kwa masuala mengine yote, muone Muuzaji Aliyeidhinishwa wa Briggs & Stratton.
Umaalum wa mashine
Shinikizo Linalokubalika
Mtirirko wa Juu
Shinikzo na Mtiririko Uliokadiriwa
Hali Joto ya Chanzo cha Maji
Volteji Iliyokadiriwa
Marudio Yalitokadiriwa
Matumizi ya Nishati
Mkondo
Daraja la Ulinzi
Kiwango cha Ulinzi
Ngumu - Mtetemeko wa Mkono a hd
K isiyojulikana
Kiwango cha Shinikizo la Sauti L pA
K isiyojulikana pA
Kiwango cha Nguvu ya Sauti L WA
Uhakika sauti nguvu L WAd
* Kwa EN 60335-2-79: 2012.
8
Sababu
1. Sehemu ya kuingiza maji iliyozibwa.
2. Kiwango cha maji kisichotosha.
3. Sehemu ya kuingizia maji kwenye mpira
wa maji imepindika au inavuja.
4. Skrini ya kuingiza maji iliyoziba.
5. Ncha ya mnyunyizio imezuiliwa.
1. Chanzo cha maji hakijaswashwa.
2. Kifaa hakijawashwa.
3. Mpira wa bustani ni mrefu sana.
4. Fyuzi imeungua au kukata saketi
imeng'oka.
1. Ncha ya Kufukiza ya shinikizo ya juu
imewekwa.
1. Mpira wa bustani ni legevu katika
kitundu cha kuingiza maji.
2. Miunganisho legevu ya mpira wa
shinikizo la juu.
3. Pete ya o iliyoharibika.
MPa/BAR/PSI
LPM/GPM
MPa/BAR/PSI @ LPM/GPM
°C/°F
V
H z
W
A
Daraja I
IP xx
m/s 2
m/s 2
dB(A)
dB(A)
dB(A)
dB(A)
Sahihisho
1. Safisha sehemu ya kuingizia maji.
2. Toa mkondo unaotosha wa maji.
3. Nyoosha mpira wa bustani au ubadilishe
ikiwa unavuja.
4. Safisha au badilisha skrini ya tundu la
kuingiza maji.
5. Safisha ncha ya mnyunyizo.
1. Zima chanzo cha maji.
2. Bonyeza swichi kuu ya WASHA/ZIMA iwe
katika nafasi ya WASHA (I). Weka PRCD upya.
3. Tumia mpira wa bustani wenye upeo wa mita
15.4 (futi 50) peke yake.
4. a.) Badilish fyuzi au weka kikata saketi upya.
b.) Tenganisha vifaa vingine vya umeme na
uzime taa katika saketi au endesha kwenye
saketi moja.
c.) Endesha kwa dakika 5 na ncha ya
kunyunyizia ya tarbo.
1. Funga ncha nyeupe ya kunyunyizia
iliyoinama.
1. Kaza mpira wa bustani kwa mkono.
2. Ondoa mpira na uufunge tena.
3. Badilisha pete ya o.
16.0/160/2,320 *
8.0/2.1 *
12.0/120/1,740 @ 5.5/1.45 *
38/100
220 - 240
50/60
2,500
9.0
Daraja II
IPX5
≤ 2.5 *
0.2 *
74 *
2 *
94 *
96 *
BRIGGSandSTRATTON.COM

Werbung

loading

Diese Anleitung auch für:

020672-00