Herunterladen Diese Seite drucken

Briggs & Stratton 020622-00 Bedienungsanleitung Seite 178

Werbung

Verfügbare Sprachen
  • DE

Verfügbare Sprachen

  • DEUTSCH, seite 38
Yaliyomo
Usalama na Alama za kuelekeza . . . . . . . . . . . . . . . 4
Maelezo ya Vifaa. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Uunganishaji . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Vipengele na Vielekezi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Operesheni . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Udumishaji. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 6
Kuhifadhi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 8
Utatuaji wa Matatizo . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 9
Umaalum wa mashine . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 9
Udhamini . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 10
Usalama na Ishara za Kuelekeza
Ishara ya usalama inaweza kutumika kuwakilisha aina ya
hatari. ONYO inaonyesha athari ambayo isipoepukwa, inaweza
kusababisha kifo au majeraha makubwa. ILANI inahusisha
mazoea yasiyohusika na majeraha ya kibinafsi.
Soma
mwongozo
Ishara ya Tahadhari
Kuanguka
ya Usalama
Kuwasha
Kuchomeka na
kemikali
Usiwahi kuelekeza mkono wa kunyunyizia
upande wako, wa watu wengine au wanyama.
Usiwahi kunyunyizia karibu na chanzo cha
umeme au kifaa chenyewe.
Mashine hii haifai kutumika na watu (wakiwemo
watoto) walio na upungufu wa kimwili, uwezo wa
hisia au kiakili, au ukosefu wa uzoefu na maarifa ila tu
unaposimamiwa na kupewa maagizo kuhusu matumizi
salama ya mashine na uelewe hatari zinazohusika.
ONYO
• Mashine hii imeundwa ili itumie sabuni
au ditajenti ya kusafishia iliyotolewa au
kupendekezwa na mtengenezaji. Utumiaji wa
sabuni/ditajenti au kemikali zingine huenda
ukaathiri pakubwa usalama wa mashine hii.
4
Kuongeza
Kugongwa
ugiligili
na stima
Vitu vinavyoruka
Moto
Kuzima
Maji
Yasiyobebeka
• Jeti za shinikizo la juu huenda zikawa hatari
zikitumiwa vibaya. Jeti ile haipaswi kuelekezwa
kwa watu, vifaa vitumiavyo umeme vilivyo
umemeni au mashine hii yenyewe.
• Usitumie mashine hii pahali ambapo watu wepo
isipokuwa kama wamevalia nguo za usalama.
• Usielekeze jeti kwako au kwa wengine kwa
minajili ya kusafishia nguo au viatu.
• Hatari ya kulipuka – Usifukize maji maji
yanayoshika moto.
• Vifaa vya kusafishia vinavyotumia shinikizo la
juu havipaswi kutumiwa na watoto au wasio na
uzoefu wala ujuzi wa kuvitumia.
• Mipira ya maji ya shinikizo la juu, vishikiliaji na
visitiri ni muhimu kwa usalama wa mashine
hii. Tumia mipira ya maji, vishikiliaji na visitiri
vilivyopendekezwa na mtengenezaji.
• Ili uhakikishe usalama wa mashine, tumia
vigeuzi asilia vinavyotoka kwa mtengenezaji au
kuidhinishwa na mtengenezaji.
• Maji yaliyobubujika kupitia kwenye vizuia
mabubujiko yanayorudi nyuma huchukuliwa
kuwa yasiyobebeka.
• Ondoa kizibo umemeni ili kukatiza nguvu za umeme
wakati wa kusafisha kifaa chenyewe, kukirekebisha/
kukidumisha na unapogeuza sehemu husika.
• Usitumie mashine hii ikiwa kamba ya umeme au
sehemu muhimu za mashine hii zimeharibika, k.mf.
vyombo vya usalama, mipira ya maji ya shinikizo la
juu, bunduki ya kikabaji.
• Usitumie ekstensheni kuendeshea shughuli
za kiumeme za kisafishaji hiki cha umeme
kitumiacho shinikizo.
• Daima zima swichi kuu unapoacha kushughulikia
mashine ile au wakati ambapo hauitumii.
Maelezo ya Vifaa
Soma mwongozo huu kwa makini na uelewe
kuitumia mashine inayotumia shinikizo kuosha.
Jua matumizi yake , mapungufu yake, na hatari
zozote zinazohusika. Ila maelekezo ya awali ya
kumbukumbu baadaye.
Kioshaji hiki cha presha kinafanya kazi katika kiwango cha juu
cha 12.0 MPa (120 BAR au 1,740 PSI (ratili kwa inchi mraba))
katika kiwango cha chini cha hadi 8.0 LPM (lita kwa dakika)(2.1
GPM (galoni kwa dakika)).
Kila jitihada imefanywa ili kuhakikisha kwamba taarifa katika
kabrasha ili ni sahihi na ya hivi punde zaidi. Hata hivyo, tunahifadhi
haki ya kubadilisha, kurekebisha, au vinginevyo kuboresha bidhaa
hii na waraka huu wakati wowote bila arifa ya mapema.
ILANI Kama una maswali kuhusu matumizi, uliza mtu
anayeuza ama kituo cha huduma kilichohitimu. USIWAHI
kutumia mashine haya yakiwa na sehemu zilizovunjika au
zinazokosekana, au bila ya sehemu yake inayoyafunika au
vifuniko. USILENGE kifaa chochote cha usalama katika
mashine hii. USIBADILISHE kioshaji kwa presha kwa njia
yoyote ile. Vifaa hivi viliundwa kutumiwa na bidhaa za
nguvu na zilizoidhinishwa za Briggs & Stratton PEKEE.
BRIGGSandSTRATTON.COM

Werbung

loading

Diese Anleitung auch für:

020672-00