Herunterladen Inhalt Inhalt Diese Seite drucken
Inhaltsverzeichnis

Werbung

Ukarabati
Ratiba Ya Ukarabati
Fuata kila saa au vipinda vya kalenda, kwa namna yoyote
itakayotokea ya kwanza. Huduma ya mara kwa mara inahitajika
wakati inatumika katika mazingira magumu.
Masaa matano ya kwanza
• Badilisha mafuta ya injini
Kwa kila masaa manane ama kila siku
• Safisha uchafu
• Kagua kiwango cha mafuta injini
Kwa kila masaa hamsini ama kila mwaka
• Karabati kichujio cha hewa
Kwa kila masaa hamsini ama kila mwaka
• Badilisha mafuta ya injini
• Kagua kifaa kinachopunguza sauti ya ekzosi
Kwa kila masaa mia mbili ama kila mwaka
• Hudumia Spaki Plagi
• Safisha mfumo wa kupooza
Hudumia mara nyingi zaidi katika hali chafu au iliyo na vumbi.
1
Mapendekezo Kwa Ujumla
Ukarabati wa mara kwa mara utaboresha utekelezaji na
kuongezea maisha ya mashine inayoosha kwa kutumia shinikizo.
Angalia muuzaji yeyote wa Briggs & Stratton kwa ajili ya huduma.
USIKUKUBALI WATOTO waitumie mashine inayoosha kwa
kutumia shinikizo.
Udhamini wa mashine inayoosha na shinikizo haizingatii vifaa
ambavyo opereta amudhulumisha ama hakarabati. Ili apate
thamani yote ya Udhamini, fundi lazima adumishe mashine
inayoosha kwa kutumia shinikizo kama maelekezo katika
mwongozo huu yanasema, pamoja na uhifadhi sahihi kama
ilivyoelezwa katika Uhifadhi.
ONYO Ili kuhakikisha usalama wa mashine, tumia vipuri asili
tu kutoka kwa watengenezaji au vilivyothibitishwa na
watengenezaji. Kama una maswali kuhusu kubadilisha vipengele
katika mashine yako inayoosha kwa kutumia shinikizo, tafadhali
angalia tovuti yetu katika BRIGGSandSTRATTON.COM.
Hatua ya V ya EU: Maadili ya CO2
Maadili ya CO2 ya injini Zilizoidhinishwa za Aina ya Briggs &
Stratton yanaweza kupatikana katika BriggsandStratton.com
kwa kuandika CO2 katika upau wa utafutaji.
Mpira wa Kuchunguza Mfumo wa Kutoa Sabuni kwa Bomba
Angalia mara kwa mara mpira katika mfumo wa kutoa sabuni kwa
bomba, inaweza kwama kutoka hifadhi, sabuni kavu, au madini
kwa maji. Mpira wa Kuchunguza Mfumo unaweza kutolewa kwa
kufanya yafuatayo:
1. Zima maji.
2. Injini ikiwa imezimwa na shinikizo imetolewa kwa mfumo,
toa mpira unaovuta sabuni kutoka nyaya iliyo kwa pampu.
3. Ukitumia chombo imara, isiyo na pembe kali na kipenyo
ya milimita 2 (inchi 7/64) au ndogo kwa angalau urefu wa
milimita 25.4 (inchi 1), kama vile bisibisi ya Allen, ingiza
chombo icho polepole katika nyaya mpaka uskikie upinzani.
Upinzani huo ni mpira wa kuchunguza.
4. Sukuma chini kwa mwendo wa pole hadi uskie mpira
ukisonga kidogo, sukuma na usipitishe milimita 3 (inchi 1/8).
Shinikiza kidogo inaweza hitajika kutoa mpira.
5. Rudia hatua 4 na 5 kama inahitajika.
6. Rudisha tubu inaovuta sabuni kwenye nyaya.
8
8
1
1
1
7. Itengeneza na PumpSaver kama ilivyoelezwa katika Kuilinda
Pampu wakati wa kuhifadhi ili kuzuia marudio.
Ukarabati wa Ncha ya Kufukiza Kielelezo 4
Safisha ncha ya kufukiza ili utoe shinikizo nyingi kwa pampu
iliyosababishwa na ncha ya kufukiza iliyozibwa:
1. Zima maji.
2. Toa ncha ya kufukiza kutoka kwa mwisho wa ugani wa
bomba.
3. Tumia kigango ndogo kutoa nyenzo zinazoziba au kuzuia
ncha ya kufukiza (R).
4. Rudisha ncha ya kufukiza katika ugani wa bomba.
Ukarabati wa O-Ring Kielelezo 10
Matumizi ya mafuta (petroli au grisi sintentiki) husaidia kuwekelea
o-rings hivyo kuweka muhuri bora. Paka mafuta kwa o-rings kabla
ya kuweka mpira wa maji juu ya pampu (A), mpira wa maji ulio na
shinikizo ya juu (B), bunduki ya mfukizo (C), na ugani wa bomba (D).
Nunua kifaa ya ukarabati ya O-Ring kwa kuwasiliana na
muuzaji aliyeidhinishwa wa Briggs & Stratton. Rejelea karatasi
ya maelekezo iliyowekwa kwa vifaa vya ukarabati ili uhudumie
o-rings kwa kitengo yako. KAMWE usikarabati viungo vinavyovuja
na muhuri wa aina yoyote. Badilisha o-ring au muhuri.
Uhifadhi
Kama huna mpango wa kutumia mashine inayoosha kwa
kutumia shinikizo kwa zaidi ya siku 30, lazima uandae injini na
pampu kwa ajili ya kuhifadhi.
Kulinda Pampu
Ili kulinda pampu kutoka uharibifu unaosababishwa na
kukusanyika kwa madini au baridi, tumia PumpSaver kuzuia
uharibifu wa baridi na sisima mchi wa mashine na mihuri.
NOTICE Kushindwa kuilinda kitengo kutoka barida itaiharibu
pampu na kuifanya kitengo isiweze kutumika. Uharibifu kwa
sababu ya baridi haiko kwa udhamini.
Kulinda Mfumo wa Mafuta
Mafuta inaweza kuoza wakati imehifadhiwa kwa zaidi ya siku 30.
Mafuta yaliyooza husababisha asidi na fizi kukusanyika katika
mfumo wa mafuta au kwenye sehemu muhimu za kabureta.
Hakuna haja ya kumwaga petroli kutoka injini kama kiimarishaji
cha mafuta ni kinaongezwa kwa mujibu wa maelekezo. Endesha
injini kwa dakika 2 ili kusambaa kiimarishaji katika mfumo wa
mafuta kabla ya kuhifadhi.
Kama petroli katika injini haijawahi kutibiwa na kiimarishaji
cha mafuta, ni lazima imwagwe katika kontena iliyoidhinishwa.
Endesha injini mpaka izime kutokana na ukosefu wa mafuta.
Matumizi ya kiimarishaji cha mafuta kwenye kontena ya kuhifadhi
inapendekezwa kwa ajili ya kudumisha usafi.
Vidokezo Vingine vya Kuhifadhi
1. USIHIFADHI mafuta kutoka msimu mmoja hadi mwingine ila
iwe imetibiwa kama ilivyoelezwa katika Mfumo Wa Kulinda
Mafuta.
2. Funika kitengo na kifuniko kinachofaa na hakihifadhi unyevu.
ONYO! Vifuniko za hifadhi zinaweza kusababisha moto
unaoweza kuleta kifo au majeraha makubwa. USIWEKE
kifuniko cha hifadhi juu ya mashine inayoosha kwa
kutumia shinikizo moto. Wacha vifaa vipoe kwa muda wa kutosha
kabla ya kuweka kifuniko juu yake.
3. Hifadhi kitengo katika eneo safi na kavu
BRIGGSandSTRATTON.COM
BRIGGSandSTRATTON.COM

Werbung

Inhaltsverzeichnis
loading

Diese Anleitung auch für:

020738-00020739-00Bpw3200q

Inhaltsverzeichnis