Herunterladen Inhalt Inhalt Diese Seite drucken

Briggs & Stratton P2400 Bedienungsanleitung Seite 245

Inhaltsverzeichnis

Werbung

Verfügbare Sprachen
  • DE

Verfügbare Sprachen

  • DEUTSCH, seite 54
Vipengele na Vidhibiti Kielelezo
Kifuniko cha Mafuta
A
B
Kifuniko cha Juu cha
Ukarabati
Kifuniko cha
C
Udumishaji
D
Mafla/Ekzosi ya
Kishika Cheche
E
Chujio la Hewa (chini
ya kifuniko)
F
Tundu la kujazia Oili
(chini ya kifuniko)
G Kifuniko cha
Udumishaji Oili
H
Lebo ya Utambulisho
J
Uwekaji Jenereta Upya
K
Kidude cha Kuwasha
Uendeshaji
Hatua ya 1: Eneo Salama
Kabla ya kuwasha jenereta ya kubebeka kuna mambo
mawili muhimu ya usalama kuhusu sumu ya kaboni
monoksidi na moto ambayo ni lazima yashughulikiwe.
Eneo la Kuendeshea ili Kupunguza Hatari ya Sumu
ya Kaboni Monoksidi
ONYO! Eksozi ya injini ina kaboni monoksidi,
gesi ya sumu ambayo inaweza kukuua wewe
kwa dakika chache. Hauwezi kuinusa, kuiona,
wala kuionja. Hata kama huwezi kunusa mafukizo
yanayotolewa, bado unaweza kupumua gesi ya
monoksidi ya kaboni.
• Endeshea nje jenereta ya kubebeka, angalau mita 6.1
mbali na mahali ambapo kuna watu huku eksozi ikiwa
imeelekezwa mbali ili kupunguza hatari ya kupumua
kaboni monoksidi.
• Sakinisha ving'ora vya kutambua uwepo wa kaboni
monoksidi vinavyotumia betri pamoja na hifadhi ya betri
kulingana na maagizo ya mtengenezaji. Ving'ora vya
moshi haviwezi kutambua gesi ya kaboni monoksidi.
Stata ya Kurudi
L
Nyuma
M Plagi za Volti 230 za
AC
Swichi ya Kukata
N
Umeme
P
Kitango Ardhini
R
Kikata Mkondo cha
DC
S
Eneo la Operesheni
Sambamba
T
Plagi za Volti 12 za DC
U
Taa ya Kiashiria
Kufunga Kaboni
Monoksidi (CO)
V
Vituo vya USB
W Kitufe cha QPT
Zuia Sumu ya Kaboni Monoksidi (CO)
Zaidi ya mita 6.1
• Usiendeshe jenereta ya kubebeka ndani ya nyumba,
1
gereji, vyumba vya chini ya ardhi, ubati, vibanda, au
majengo mengine yaliyobanwa hata kama unatumia
viyoyozi ama kufungua milango na madirisha ili
hewa safi iingie. Gesi ya kaboni monoksidi inaweza
kukusanyika kwa haraka katika maeneo haya na
inaweza kukwama kwa saa nyingi, hata baada ya
bidhaa hii kuzimwa.
• Kila wakati uelekeze ekzosi ya injini mbali na maeneo
yenye watu.
Ukianza kuhisi mgonjwa, kizunguzungu, mchovu, au
ving'ora vya kaboni monoksidi vikilia wakati unatumia
bidhaa hii, nende mahali penye hewa safi mara moja.
Wasiliana na watoa huduma za dharura. Huenda ukawa
umeathiriwa na sumu ya kaboni monoksidi.
Eneo la Kuendeshea ili Kupunguza Hatari ya Moto
ONYO! Joto/gesi za Eksozi zinaweza
kuwasha vitu, majengo au tangi la
mafuta lililoharibika zinazoweza kushika
moto, na kusababisha kifo au majeraha mabaya.
• Ni lazima jenereta ya kubebeka iwe angalau mita
1.5 mbali na jengo lolote, vitu vinavyoning'inia, miti,
vichaka au mimea yenye urefu wa zaidi ya sentimita
30.5.
• Usiweke jenereta ya kubebeka chini ya deki au aina
nyingine yoyote ya jengo ambalo litazuia hewa nyingi
kupita. Ving'ora vya moshi ni lazima viwekwe na
kudumishwa ndani ya nyumba kulingana na maagizo/
mapendekezo ya mtengenezaji.
• Ving'ora vya kaboni monoksidi haviwezi kugundua
moshi.
• Usiweke jenereta ya kubebeka kwa njia nyingine
isipokuwa ambavyo imeonyeshwa.
Ekzosi
MUFFLER
Zaidi ya
mita 1.5
Tumia maeneo ya nje angalau mita 6.1 mbali
na makazi yoyote.
Elekeza ekzosi mbali na nyumba na maeneo
yote yenye watu.
Weka ving'ora vya CO ndani ya nyumba yako.
Zaidi ya mita 1.5
Zaidi ya mita 6.1
5

Quicklinks ausblenden:

Werbung

Inhaltsverzeichnis
loading

Inhaltsverzeichnis